deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau,mala nyingi baadhi ya wasomi au wanasiasa hua nasikia wakisema umajumui sifahamu humaanisha nini hasa mwenye uelewa anijuze hilo
Pan-Africanist.Habari wadau,mala nyingi baadhi ya wasomi au wanasiasa hua nasikia wakisema umajumui sifahamu humaanisha nini hasa mwenye uelewa anijuze hilo
Umoja
Pan-Africanist.
Uzalendo si uzarendo mkuu.Uzarendo ulio tukuka au kuweka maslai ya Waafrika mbele bila kujali mipaka
Teh teh teh...ungefunguka brotherNa wewe litumie hivyohivyo bila kujua maana yake.Maana ni kama tabia ya watoto wa form two kujidai kuchomekea "mabombastics" wasiyojua maana yake ili mradi awakoge wenzie kwamba anajua lugha.Koooh...kooh...koh!
Ameandika kama inavyotamkwa kijijini Burigi Chato....ni sawa ingawa si sahihiUzalendo si uzarendo mkuu.