Neno umajumui maana yake nini? Nimesikia Mugabe alikua hivyo.

Na wewe litumie hivyohivyo bila kujua maana yake.Maana ni kama tabia ya watoto wa form two kujidai kuchomekea "mabombastics" wasiyojua maana yake ili mradi awakoge wenzie kwamba anajua lugha.Koooh...kooh...koh!
 
Teh teh teh...ungefunguka brother
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom