Neno "ndiyoo" bungeni limepitwa na wakati!

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
751
Salaam.

7a0c6b93e27b4b87d1fd9fcc724ef89b.jpg

Nimefuatilia kidogo na kugundua kuwa namna ya upitishaji wa sheria na mambo mengine katika Bunge letu LA Tanzania kwa kusema ndiyo au hapana na kisha speaker kusema waliosema ndiyooo wameshindaaaa!!!...huwa inategemea sana na msimamo wa speaker.


Neno hili "NDIYOOO" ni dogo na fupi sana lakini impact yake ni kubwa na ndefu sana kwa mktadha maendeleo wa Taifa letu.Wapo ambao huwa wanasubri waseme tu NDIYOO na hata mambo yakienda visivyo huwa lawama zinaenda kwa ccm kuwa ndio pekee walisema NDIYOO(japo kweli) ...


Sheria na kanuni za bungeni zipitiwe upya ili hata HIYO mikataba itakapopitiwa upya(kama rais alivyoagiza) isije ikapitiwa na kupitishwa kwa ndiyooo na tukarudi kulekule.

Tuangalie mabunge mengine hasa yaliyopo chini ya jumuia ya mdora wao wanafanyeje kupitisha mambo yao.

Neno NDIYOO limepitwa na wakati bungeni.Ni uzamani na ushabiki usiendana na wakati na ambao wenye nia mbaya hujificha huko kupitisha mambo yasiyo
 
Ccm ndiyo utawskia NDIYOOOOOO,U-majority wao bungeni ndiyo unafanyaaa wapitishee sheria/miswada ya kis--- tu

Ova
 
Back
Top Bottom