Neno moja tu kwa huyu mzee

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
10,299
13,333
IMG_9277.JPG

Anaitwa Rainfred Masako.
 
Mimi ni rainfred masako Wa ITV
Nasikia ni mlevi sana,nishawahi kumuona maeneo ya mbagala anaenda kazini kuonekana kwenye kideo kwa mguu Wa tatu na kupanda daladala,IPP hawakuthamini mchango wake inauma sana aisee basis sawa.
 
Ila nadhani alipata pensheni kubwa sana baada ya kustafu napenda anavyozungumza
 
Mimi ni rainfred masako Wa ITV
Nasikia ni mlevi sana,nishawahi kumuona maeneo ya mbagala anaenda kazini kuonekana kwenye kideo kwa mguu Wa tatu na kupanda daladala,IPP hawakuthamini mchango wake inauma sana aisee basis sawa.
Walevi watu wazima hawathamini magari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom