NENO MASLAI YA TAIFA linatumiwa vibaya kwa sababu ya katiba yetu ila utawala huu ndo utaongoza kulitamka

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nchini Tanzania,katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka hivi leo haijawai elezea au fafanua neno masilai ya umma au taifa ni kitu gani hicho?

Miaka kadhaa iliyopita nikiwa mwanafunzi wa shahada ya uandishi wa habar nakumbuka tullipofika mwaka wa tatu na kujikita kweny uandishi wa habar wa magazetini kwenye coz moja ya MEDIA LAW,Mwalimu wetu enzi hizo alikilikuwa neno masilai ya taifa nchini Tanzania ni neno linalotumiwa vibaya hasa na watawala wetu wa Tanzania.

Mwalimu wetu alikwenda mbali zaid na kudai kuwa enzi hizo akiwa mwandishi wa habar wa gazet fulani,aliwah kufata habar kweny wizara moja ila badala ya kupewa ile habar katibu mkuu alichukua bahasha ya kaki na kugonga mhur uliondikwa juu yya bahasha CONFIDENTIALITY.

na alipewa mwandishi kutoka ghorofa ya tatu na kuambiwa ampelekee secretary.

Yule mwamdishi akiwa kweny rft aikaifungua bahasha na kukuta KONDOM,mwamdishi akaifunga tena alipofika kwa secretary akamkabidhi secretary alipoifungua akamwambia mwandishi hii habar uliyoifata kwa katibu mkuu swez kukupa kwa sababu ni habar inayogusa masilai ya Taifa.

Kwa kuwa mwandishi alikuwa ni mwandishi wa habar za uchunguzi akaandika habar yenye kichwa cha habar mwandishi abebeshwa bahasha yenye komdomu kwenda kwa secretary.

Nmelazimika kutoa kisa hiki ili kwa sababu y Dpp kuwafutia kesi wale askar kwa madai ya usalama wa taifa please nadhani ni wakati mwafaka KATIBA YETU KUSEMA NI NINI MAANA YA PULIC INTEREST.

la sivo tutakamatamana na vidhibitisho vote tuishie kusingizia public interest. Kwa kesi hii nmejifunza kuwa mmeona mkiwafunga wote wangekuwa kikosi hatari sanaa gerezani na kama kingetoka basi taifa lingeingia kweny taifa lenye makundi hatari for dat reason tutaelewana.

Ni mimi kada mtiifu sifileo.

Rukondo iangiro.
 
Nakumbuka miaka kadhaa kuna kipindi hata vijana wetu wa idara nyyeti walifika pahala wakais masilai ya taifa ni viongozi wa ccm basi ikawa ukiwagusa hao tu unaandamwa sanaa ila sasaiv wameanza kuonesha kujua
 
Back
Top Bottom