Neno mapangaboy ya Magufuli mbona silisikii tena? Imekuaje likapotea mapema hivi?

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza.

Na sasa silisikii tena huku nini kimetokea na mbona neno hili limemaliza haraka hivi umaanarufu wake?

Wataalam wa Lugha naomba kujuzwa, huwa neno jipya la lugha yoyite likiibuka hukaa muda gani midomoni mwa watu na kupotea kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa moja ya mikakati ya Zitto kutaka kukosoa kila kitu wakifanyacho serikali.
 
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza.

Na sasa silisikii tena huku nini kimetokea na mbona neno hili limemaliza haraka hivi umaanarufu wake?

Wataalam wa Lugha naomba kujuzwa, huwa neno jipya la lugha yoyite likiibuka hukaa muda gani midomoni mwa watu na kupotea kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa mmejirekebisha hamnunui tena mapangaboi.
 
Hata yule aliyesema ndege ni USED sio mpya, serikali imekarabati, simskii tena. Wamezuka na ndege kubeba nyama ya mbuzi wakati ni mizigo kama mingine, JPM anawapeleka puta sana
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza.

Na sasa silisikii tena huku nini kimetokea na mbona neno hili limemaliza haraka hivi umaanarufu wake?

Wataalam wa Lugha naomba kujuzwa, huwa neno jipya la lugha yoyite likiibuka hukaa muda gani midomoni mwa watu na kupotea kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza.

Na sasa silisikii tena huku nini kimetokea na mbona neno hili limemaliza haraka hivi umaanarufu wake?

Wataalam wa Lugha naomba kujuzwa, huwa neno jipya la lugha yoyite likiibuka hukaa muda gani midomoni mwa watu na kupotea kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ziko karakana na zimesahaulika!

Kila kitu kina faida.
Unayoyasifia leo ni matokeo ya ukosoaji wao.
Huenda yangekubalika hayo mapanga yangeendelezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom