Neno " lol " lina maana gani?

An abbreviation of "Laugh out Louder"...hahaa haaa haa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"

1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?

Asanteni .
1. KWA KIREFU NI "LAUGH OUT LOUD" NA "LOTS OF LOVE". KWA MAANA NI KUWA KUNICHEKA KWA NGUVU SANA NA PILI NI UPENDO MWINGI KUTOKA KWAKO BINAFSI.

2. UNATUMIA ABBREVIATIONS HIZI PALE UNAPOFURAHIA/KUFURAHISHWA NA JAMBO FULANI NA PILI UNATUMIA "LOTS OF LOVE" PALE UNAPOTUMA UJUMBE WA KUMAANISHA KUWA UNAJALI NA KUMPENDA MLENGWA HUSIKA.

3. JINSIA ZOTE ZINATUMIA HERUFI NA MANENO HAYA BILA UBAGUZI KWANI YANI HISIA NZURI KUELEKEZA KWA BINADAMU MWINGINE. KWA NYAKATI NI WATU HUJISHTUKIA HASA WANAUME KUTUMIA HAYA MANENO/HERUFI.

NB: KUMUMBUKA KUWA "LOL" HUTUMIKA KATIKA UTUMAJI JUMBE MBALIMBALI BAINA YA WATU JAPO BAADHI HUTUMIA KIMATAMSHI PIA.
 
Kimantiki ni kwamba mwanaume huwezi kucheka kwa sauti kubwa sana ya kukenua...ndio maana mkiwa kwenye kadamnasi mwanaume ukacheka kwa sauti kubwa sana watu wanageuka kukuangalia...mwanaume unatakiwa ufurahi na kutabasamu na pia mwanaume hapigi makelele...nafikiri hata kuscream na kumoan sio asili ya kiume.
 
1. KWA KIREFU NI "LAUGH OUT LOUD" NA "LOTS OF LOVE". KWA MAANA NI KUWA KUNICHEKA KWA NGUVU SANA NA PILI NI UPENDO MWINGI KUTOKA KWAKO BINAFSI.

2. UNATUMIA ABBREVIATIONS HIZI PALE UNAPOFURAHIA/KUFURAHISHWA NA JAMBO FULANI NA PILI UNATUMIA "LOTS OF LOVE" PALE UNAPOTUMA UJUMBE WA KUMAANISHA KUWA UNAJALI NA KUMPENDA MLENGWA HUSIKA.

3. JINSIA ZOTE ZINATUMIA HERUFI NA MANENO HAYA BILA UBAGUZI KWANI YANI HISIA NZURI KUELEKEZA KWA BINADAMU MWINGINE. KWA NYAKATI NI WATU HUJISHTUKIA HASA WANAUME KUTUMIA HAYA MANENO/HERUFI.

NB: KUMUMBUKA KUWA "LOL" HUTUMIKA KATIKA UTUMAJI JUMBE MBALIMBALI BAINA YA WATU JAPO BAADHI HUTUMIA KIMATAMSHI PIA.
Bt mda mwngine lol ni kama mshangao yaan kihisishi(navojua mim)
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom