Neno " lol " lina maana gani?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"

1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?

Asanteni .
 
Kwa ninavyofahamu
Lol ni kifupi cha
L; Laugh
O: Out
L: Loud

Linamaanishaa kucheka kicheko cha wazi... Kwa mfano mtu amekutumia msg yenye vichekesho na ukacheka mpaka sauti ikatoka kwa kicheko una weza kumjibu Lol kumjulisha kuwa umecheka mpaka jino la mwisho.

Lol inatumiwa na jinsia zote...
 
sidhani kama linastahil au lianavutia kutumika na mwananume .
 
hata mimi neno a.k.a lilinitesaga sana,kila nikipita huku a.k.a nikawa najiuliza ndio nini hiki?
 
sidhani kama linastahil au lianavutia kutumika na mwananume .

kazi kwelikweli, hilo neno limeanzishwa na wanaume, wanawake wamekuja kulikuta facebook tu, usiogope kulitumia mkuu, lol!
btw, ni kifupisho tu hakina jinsia.
 
Wengine husema linamaanisha "Licifer our Lord"
Just curious who is right.??????!!!!
 
sidhani kama linastahil au lianavutia kutumika na mwananume .
kwanini..???lakini sikatai kwa mawazo yako inaweza kuwa sahihi,nisawa navyoona mimi maneno ya kiswahili kama "majanga","utajiju","sielewi","aje aje"...nikati ya vimisemo ambavyo naona havifaikusemwa na mwanaume
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom