Neno la wekend kwa young and senior Bachelors

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,178
Washkaji niaje? Hopin wekend inakwenda poa

Washkaji, brothers, gentleman, hustlers and all boys around there let's love our ladies at our best,, hata kama life haiend tunavyotaka tusihamishie hasira na stress kwao kwa kuwaletea ujinga,

Yap cheating sometimes haiepukiki as kuna mitego kuchomoka ngumu, tuhakikishe our loved ones wasijue hata iweje hata kwa kuhisi so that they can smiles and being happy all the time, hawa wenzetu wapo too emotional as wanakuwa hurted sana tunapozingua..

let's treat them the same way we wish our mothers to be treated with our fathers, the same way we wish sisters wawe treated na shemeji zetu etc,,

As nimefurah sana nilikuw kwa sister wangu mkubwa, I see her like crazy, she is more than happy nikakumbuka somedays back alikuwa kama chizi as mahusiano yalimchanganya sana,,

Ukweli sio ngumu kum tune a lady awe unavyotaka if we play our parts inavyotakiwa,, as wanazingua sana wanapoona hatueleweki as wanatafuta kwenye afadhali huku na huku bila kutulia, but tukiwa tunasomeka wao sio wagumu kabisa kutulia nasi na kutupa amani na furaha,,

Also tuwe makini kutongoza ovyo ovyo,, ukiona kabisa hatupo serious bora hata mtongozo tusiufanye serious sana mdada wa watu akafika kwenye love peak kumbe ulikuwa unamega tu na kusepa, sometimes hizi hurted souls zinarudi na kukutafuna maisha yako yote unakuta ukikumbuka vitu flani unakosa raha.. ( Even myself kuna hurted souls zinanitafuna sana) let's try to avoid them so that we can keep our life days happily,,

Nice wekend wakuu aliopo mbalamwezi tuchekiane hapa as Mkata Kiu nipo hapa nakata kiu yangu ya maji ya mende kuimalizia wekend
 
E bwana ee, nadhani hii sio kwa bachelors tu hata kwa married couple, vipi kijana umeweza ku control consumption ya MAJI YA ILALA!?
 
Una akili wewe siku zote ulikua wapi jamani:A S angry:mnawageuza wadada uwanja wa mazoezi halafu mnasepa manake nn?wape jando hao.
 
E bwana ee, nadhani hii sio kwa bachelors tu hata kwa married couple, vipi kijana umeweza ku control consumption ya MAJI YA ILALA!?

Nimeanza kuweza bro, nimepunguza sana,, yaan nowdays castle light nne tu zinanitosha zikizidi sana 6 wakat zaman ilikuwa hadi hela iishe.. Nina imani hadi kufika june mwakan nitakuwa nimeshaacha.. Nowdays sipendi kulewa na hata bia nakunywa kwenye pub za beach sana as coco, mbalamwezi etc tena wekend tu as beach unakula bia huku upepo unakupuliza unajisikia kama unakunywa fanta,, no kulewa kabisa
 
MKATA KIU asante kwa hii sredi tamu...i have got something to go with...i remember one day my mom told me 'always escape to be the source of women's tears as their tears never go unpaid'..
 
Last edited by a moderator:
Also tuwe makini kutongoza ovyo ovyo,, ukiona kabisa hatupo serious bora hata mtongozo tusiufanye serious sana mdada wa watu akafika kwenye love peak kumbe ulikuwa unamega tu na kusepa, sometimes hizi hurted souls zinarudi na kukutafuna maisha yako yote unakuta ukikumbuka vitu flani unakosa raha.. ( Even myself kuna hurted souls zinanitafuna sana) let's try to avoid them so that we can keep our life days happily,,
hii nimeipenda, Mungu akubariki na kukuondolea hatia hii kwani umelijua kosa lako, ukiweza waweza watext kuwaomba msamaha, kwa kuomba kwako msamaha wakubali wakatae wewe huna hatia tena kwa Mungu wako............enjoy ur weekend n be good.
 
Aiseee....upo hapo counter ama?... Bonge la ujumbe umetoa tonight... Baelezee wenzio baelewee...
 
Also tuwe makini kutongoza ovyo ovyo,, ukiona kabisa hatupo serious bora hata mtongozo tusiufanye serious sana mdada wa watu akafika kwenye love peak kumbe ulikuwa unamega tu na kusepa, sometimes hizi hurted souls zinarudi na kukutafuna maisha yako yote unakuta ukikumbuka vitu flani unakosa raha.. ( Even myself kuna hurted souls zinanitafuna sana) let's try to avoid them so that we can keep our life days happily,,
hii nimeipenda, Mungu akubariki na kukuondolea hatia hii kwani umelijua kosa lako, ukiweza waweza watext kuwaomba msamaha, kwa kuomba kwako msamaha wakubali wakatae wewe huna hatia tena kwa Mungu wako............enjoy ur weekend n be good.

Mkata kiu mwenzangu asee this is an A-class thread. . .we mbayaaa. . .
 
Back
Top Bottom