Neno la Shukrani baada ya kunusurika kwenda Segerea

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,221
2,000
Jana ilikuwa siku ngumu sana kwangu baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Kasian Matembele kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya pesa taslimu shilingi milioni tano katika kesi No 188/2017 kosa la kuchapisha maneno ya uchochezi mitandaon
Fanya tena uchochezi ,ili ulie Kwa FURAHA
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,235
2,000
SHUKRANI

Jana ilikuwa siku ngumu sana kwangu baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Kasian Matembele kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya pesa taslimu shilingi milioni tano katika kesi No 188/2017 kosa la kuchapisha maneno ya uchochezi mitandaoni, Lakini Watanzania mligeuza ndani ya dakika 60 tu ikawa furaha na nderemo baada ya kuchangia pesa na kulipa faini hiyo.

Nawashukuru sana Watanzania kwa Ujumla wenu kwa mwitikio mkubwa mliouonyesha, Nakishukuru Chama changu Chadema Tanzania kwakusimama nami kwa miaka sita yote niliyokuwa na kesi hii na kwa uzito mkubwa nitoe shukrani za kipekee kwa Mwenyekiti wa Chama Mh Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama Mh John Mnyika hawa wamekuwa zaidi ya viongozi/walezi/wazazi kwangu.

Nalishukuru jopo la Mawakili lililoonhozwa na Wakili msomi Peter Kibatala na Hekima Mwasipu kwa mahiri mkubwa na kwa uvumilivu mkubwa sana kwa miaka yote sita waliyonisimamia tangu niliposoma fikishwa mahakamani November 2015.

Kipekee niwashukuru Makamanda John Pambalu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa Bavicha Taifa Tanzania na Kamanda Malisa GJ kwa namna ya miujiza waliyoifanya jana ndani ya dakika sisizopungua 60 pesa ya kulipia fani 5M ikapatikana na zaidi.

Binafsi nimebaki nimeduwaa tu hadi leo, maana awali nilikuwa na maumivu ya hukumu japo nilishajiandaa kisaikolojia kwenda Segerea, lakini ndani ya saa moja nikaelemewa na furaha isiyokifani. Watanzania mmeniheshimisha sana, Nina deni kubwa sana juu ya imani mliyonikopesha. Imani hii nitailinda daima.

Pia soma: Kisutu: Yericko Nyerere ahukumiwa jela miaka mitatu au faini ya Mil 5 kwa uchochezi, alipa faini na kuachiwa huru
View attachment 1733200
Pole kwa misukosuko. Usikate tamaa kwani siku zote siasa za nchi za Afrika zinaendena na kesi za kutafutiwa. Ninachokuasa ni kimoja tu: Usisahau ulikotoka. Kuna wengi wamepitia upinzani, hususani Chadema, wakasaidiwa na baadae wakaja badilika na kuhamia CCM tena huku wakitukana Chadema. Wewe ni mmoja wa watu waliokuwa wanatajwa tajwa sana kutumika na CCM kuihujumu Chadema na upinzani kwa ujumla. Hakuna ushahidi wa shutuma hizo ila kama kweli kuna kitu kama hicho ujue kuna kitu kinaitwa karma na pia kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,101
2,000
SHUKRANI

Jana ilikuwa siku ngumu sana kwangu baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Kasian Matembele kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya pesa taslimu shilingi milioni tano katika kesi No 188/2017 kosa la kuchapisha maneno ya uchochezi mitandaoni, Lakini Watanzania mligeuza ndani ya dakika 60 tu ikawa furaha na nderemo baada ya kuchangia pesa na kulipa faini hiyo.

Nawashukuru sana Watanzania kwa Ujumla wenu kwa mwitikio mkubwa mliouonyesha, Nakishukuru Chama changu Chadema Tanzania kwakusimama nami kwa miaka sita yote niliyokuwa na kesi hii na kwa uzito mkubwa nitoe shukrani za kipekee kwa Mwenyekiti wa Chama Mh Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama Mh John Mnyika hawa wamekuwa zaidi ya viongozi/walezi/wazazi kwangu.

Nalishukuru jopo la Mawakili lililoonhozwa na Wakili msomi Peter Kibatala na Hekima Mwasipu kwa mahiri mkubwa na kwa uvumilivu mkubwa sana kwa miaka yote sita waliyonisimamia tangu niliposoma fikishwa mahakamani November 2015.

Kipekee niwashukuru Makamanda John Pambalu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa Bavicha Taifa Tanzania na Kamanda Malisa GJ kwa namna ya miujiza waliyoifanya jana ndani ya dakika sisizopungua 60 pesa ya kulipia fani 5M ikapatikana na zaidi.

Binafsi nimebaki nimeduwaa tu hadi leo, maana awali nilikuwa na maumivu ya hukumu japo nilishajiandaa kisaikolojia kwenda Segerea, lakini ndani ya saa moja nikaelemewa na furaha isiyokifani. Watanzania mmeniheshimisha sana, Nina deni kubwa sana juu ya imani mliyonikopesha. Imani hii nitailinda daima.

Pia soma: Kisutu: Yericko Nyerere ahukumiwa jela miaka mitatu au faini ya Mil 5 kwa uchochezi, alipa faini na kuachiwa huru
View attachment 1733200
Tunakushukuru kwa kutushukuru

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,913

Pole sana mpenzi na hongera kwa kuwa huru.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom