Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Hakuna mtu anayetoa kibali cha kukosolewa. Kukosoa ni ujasiri na uthubutu wa mkosoaji. Ukisubiri kibali cha kukosoa utasubiri miaka mingi sana.
Nani mwenye marangi midomoni?Mtu mzima kutwa kujipata marangi midomoni na kujiremba tu. Tumepigwa.