Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,026
2,000
Hapana, sababu lazima iwepo
Siyo lazima iwepo sababu, je mchawi anapokuroga lazima awe ana sababu?

Lazima uafiki kwamba, kuna roho za visasi na vinyongo huoanda bila sababu, si lazima unayeonewa gere, wivu ama kinyongo uwe umemkwaza anayekuonea mojawapo ya hayo.
 
byakunu

Senior Member
Sep 13, 2016
192
500
Anae kuombea mabaya ni lazima ulimtendea mabaya, mbaya wako hatoki mbali, mwizi wako hatoki mtaa wa kumi. Mchawi humloga anae mjua. Usitarajie mimi nikuombee wewe mabaya coz sikujui na wewe hunijui. Tuishi vizuri na watu wanaotuzunguka. Nime bold uzi wako vizuri
 
Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
5,799

Si mara zote..

Kuna watu wao ni waharibifu nafsi tu hata umtendee wema ...huo huo wema wako ndio utakao kuponza!
 
byakunu

Senior Member
Sep 13, 2016
192
500
Si mara zote..

Kuna watu wao ni waharibifu nafsi tu hata umtendee wema ...huo huo wema wako ndio utakao kuponza!
Hizo zinakua chuki binafsi tu na hazina mashiko, hamna kinacho wa connect. Yani mfano wote sisi tumepanga mtaa mmoja, hatujuani ila mmoja anamaisha mazuri sana , gari nzuri, anakula bata unamchukia ya kazi gani.. huo ni U-LYA PUGILE
 
Plan Paris

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,950
2,000
Siyo lazima iwepo sababu, je mchawi anapokuroga lazima awe ana sababu?

Lazima uafiki kwamba, kuna roho za visasi na vinyongo huoanda bila sababu, si lazima unayeonewa gere, wivu ama kinyongo uwe umemkwaza anayekuonea mojawapo ya hayo.
Sababu inakuwepo na sio lazima wewe uijue.
Kwani hujawahi kuona mtu anamtuhumu mtu flani kuwa anatembea kwa kujisikia au kulinga sana
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,188
2,000
Yaan SIO KILA ANAYEKUCHUKIA UMEMKOSEA ,Kuna watu wanaweza kukuchukia au kupenda ukwame kwenye shughuli zako bila sababu yeyote..wapo wengi Sana hao.unaweza tafuta sababu umemkosea wapi na usipate ...Kuna watu wengi Sana wanachukua watu bila sababu yeyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dunia hii Kuna watu huchukiwa wengine bila hata kukosewa, wengine hata appearance au kibali huleta chuki. In short ni kuomba Mungu atuepushe na macho maovu ya husuda maana wengine hata akimzidi mtu vitu vyote chuki anayo tu
 
Wako Mtiifu

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
240
1,000
M i sijaelewa hapo kwenye kujitafakari, binadamu tuna mengi sana hasa hii ngozi nyeusi Wivu unatutesa saana

Kwa mimi hapa kazini kwangu nimenunu Gari jipya ambalo ni kalii sana , naposema ''kali 👌👌''namaanisha mjue ambalo hamna mwenye gari kama hili kuanzia wakurugenzi, mameneja hata yeyote yule anaetuzunguka hapa. Hii gari ni menunua kwa pesa yangu halali kabisa 100% hamna hata jero la kuunga unga wala magumashi, matokeo yake sasa 'iiiiih vangoshaa'' kwa sauti za mwendazake🤣!, chamoto nakiona asee, nimepigwa pini safari zote, hela nimezuiliwa kushika cash manake smtmm nilikua napewa cash kufanya some manunuzi yaan wanahangaika na chuki za waziwazi ambazo zinanichekesha tu😃, sasa hapo mtoa mada na wadau mnisaidie hapo nijitakafakari nin sasa, nimemkosea au kumdhalilisha nani au ndo 1st law of power?
 
Rule no 1. Never outshine your master

Hapo wanajilinganisha wanaona wapo nyuma sasa kinachofanyika ni uncounscious recovery
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,818
2,000
Kuna wimbo unasema ombea adui yako aishi siku nyingi ili utakapobarikiwa ashuhudie.
Mnimi nitaombea adui yangu aishi siku nyingi ili aache uadui awe mwema.

Akishuhudia kubarikiwa kwangu mimi nitapata faida gani kwa yeye kushuhudia ?

Kama yeye ataumia kwa kuniona nimefanikiwa hiyo kuumia kwake mimi nafaidika na nini ?

Kitendo cha kumuombea aishi myda mrefu ili ukifanikiwa akuone na aumie basi hiki kitendo cha kutaka wewe yeye aumie basi ni roho mbaya pia na ni kisasi ambacho hatutakiwi kuwafundisha watoto wetu.

Adui malizana nae hapo hapo,habari ya kuomba aishi muda mrefu ni ujinga tu
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,986

si kwamba aishi siku nyingi ili aumie,ili ajifunze na kutubu kwa Mungu wake.
apate elimu kupitia maisha yako.

mfano adui yako akifariki,badala ya kufurahi unatakiwa usikitike,maana amekufa akiwa na deni na wewe.
ndio maana tunaagizwa,kupatana na mshitaki kwanza,sio kumalizana naye.
 
Badala ya wewe kuomba aishi mpaka ufanikiwe ndio ajifunze kwani utapungukiwa nini endapo utamuombea kwa mungu ajifunze haraka hhata kabla hujafanikiwa ili asiendelee kuwafanyia uadui wengine ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom