Neno la leo: Ukiona unaogopwa jua kuwa huna haki ndani yako

Mkuu kwani kitambi ni tatizo,mi nafurahi kuwa nacho kwanza kinanisaidia kufuta kioo cha hii smart phone,pili ukivaa tai inaonekana,tatu sisi wakiristu kuwa na kitambi sio shida kwani Siku tukifa hatukamuliwi.

Sijawahi kujuta kuwa na kitambi aka public opinion.
Kwahiyo kwa wakamuliwaji inageuka kero kwa mkamuaji?
 
Ni kweli mkuu, kuogopwa siyo sifa ni tatizo kama vile kuwa na kitambi (obesity)
Mkuu kwani kitambi ni tatizo,mi nafurahi kuwa nacho kwanza kinanisaidia kufuta kioo cha hii smart phone,pili ukivaa tai inaonekana,tatu sisi wakiristu kuwa na kitambi sio shida kwani Siku tukifa hatukamuliwi.

Sijawahi kujuta kuwa na kitambi aka public opinion
Kwahiyo kwa wakamuliwaji inageuka kero kwa mkamuaji?
ndio mkuu mwenye kitambi hakunjiki.
 
Back
Top Bottom