Neno la leo: The Perfect Guy

I drink
I smoke (even weed)
I cheat
I exist...
And yet I am a perfect guy...
 
Naona simo kwenye list.. ngoja ninyamaze
 
He does exist, kama kipimo ni drinking, smoking n cheating.
Ongezea he has to be Super rich, sex machine, God fearing, handsome, powerful etc ndipo atacease kuexist.
 
Dogo benteke acha jungu....wewe wa juzi join date April 2014 sredi ya february 2014 huko.......vipi mzungu bado yupo>?

Hivi mwalimu wetu na mke wetu mpendwa snowhite alikuwa mentioned hapa? Najua unajua hommie wetu ni perfect guy kwake. Ati mwanaume gani atakuwa perfect bila kunywapo kabia kaunta ya juu, na kuangalia world cup hata mechi za marudio huku akifanya mechi za majaribio na kina Sylivia wa Fesibuku Pub?
 
Last edited by a moderator:

snowhite come zis way chap chap sana...au labda kama yuko mbali aje msaidizi wake Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Cheating is only cheating if and only if you become aware of the cheating...right??
SO you can blindly believe that he is never cheating..

Back
Top Bottom