Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Acha kusema uongo wewe
Mi sijakuDIPU bana . . . !!
Last edited by a moderator:
Bazaz anawezaje kumwakilisha asiye Bazaz?
Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
Karibuni kwa mjadala huru....
Aaah chair....ongoza watu wako
Hahaha kufichwa muhimu sometimes ujue. Hivi kwani hiyo definition ya perfect ya Kaizer ni given? What if mie nigeuze hivyo alivyosema niviweke kinyume kasha niidefine kama ndio perfect yangu?
Hahahaha...mkuu ndio teknolojia ikukua na mambo yanabadilikaMkuu kupotea sio vizuri
Watoto wameharibu jukwaa mkuu!
Mkuu upo nitakucheki aisee najua long time mkuu
Hahaha....nilingeshe aisee i might turn out to be the perfect guy for her.......kaka BAK tunaku miss na zile nyimbo zako kipande hii!!!!
The Finest, are you Mr Perfect nikulengeshee mahali?
Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
Karibuni kwa mjadala huru....
ndo wanawake wa siku wanamtaka!Huyo atakuwa boya zaidi ya maelezo
Hahahha mambo ya Weird Compartible Partner sio? Hahhaha naipenda hii coupleAll of us have been born with at least a score of disabilities both physical and mental. Kuna kitu kinaitwa compatibility which decides the strength of the bond that you have and your future, finally it boils down to who you are comfortable with, you are your own person besides finding that "Perfect" one, is all about trial and error
.......e bana eee?
Mbona unatuchafulia CV banaa?
Sie wengine tunaendelea ku 'EXIST'
Though about to be EXTINCT aka Endangered Species....
Yes, mie Mbu najitambua. ))
Ewaaaa....mjukuu...hahahaHahahha mambo ya Weird Compartible Partner sio? Hahhaha naipenda hii couple
No you are wrong I exist(Kwa kumwogopa mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi mimi ni kijana mwaminifu na naamini tupo wengi maana sivuti sigara,sinywi pombe,sidanganyi kwenye mapenzi na ni mwaminifu sana kwenye mapenzi na sifa nyingine tele tupo wengi sana bwana)
Bora umesema mwenyewe mana mie ngeambiwa Mwamba ngoma...................