Neno la Leo - Kirusi cha ‘kupumbazwa’

Yah kiukweli hujabakiza kitu japo sisi Kama binadam Hatuwezi kukubali KAMANDA tunamapungufu au tumekua Bendera fuata upepo Kuna uasilika mbaya uliokuja sasahivi kwamba hata nikipingwa Risasi mchana kweupe waasilika wataona nilisitahili eti tu kwasababu mitizamo yangu na yao ni tofauti hakika sisi Kwasasa ni zaidi ya mazuzu Ngoja niishie Hapa japo Moyo waniuma Sana Maana Kuna damu Zipo tohalani zimepelekwa huko kwasababu ya mitazo Chanya.
 
Siku tukipunguza ubinafsi labda tunaweza kupiga hatua nyingi mbele, Binadamu wote ni wa binafsi lakini kuna watu waliacha zamani kujiangalia individually wakatumia muda wao kuiwaza jamii nzima, kwa kiasi wakapiga hatua kubwa. Sisi watanzania hili bado hatujaliweza kabisa, mtoto hawezi kumwambia mzazi wake HAPANA hii sio sahihi only kwasababu anapata mahitaji yote kwa Mzaziwe hata kama mzazi anafanya visivyo vya halali. UBINAFSI!
 
WeweQUOTE="Laki Si Pesa, post: 33614657, member: 529390"]
huwezi pingana na itikadi, sera za chama chako, ukiwa mwana CCM, lazima ufuate maamuzi ya chama, kama hukubaliani nayo ondoka tafuta chama kingine, au anzisha chama chako, hao unaowaita bendera fuata upepo unawadhalilisha tu, hata wewe ungekuwa hivyo hivyo kama wao, mbona jamii forum mnapenda sana topic za kupinga serikali sijaona ukikemea hilo
[/QUOTE]
Wewe kama mwanachama kindakindaki tetea chama chako ma usisubiri JF iwatetee. Ni jukumu lako.

Tulia dozi iwaingie chini ya Utawala wa Shetani.
 
kuwa mpole
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom