Neno kutoka kwa Thomas Sankara

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
sankara.PNG

The dept cannot be payed back,firstly because if we don't pay our debtors won't starve to death.
Be sure of that.
but if we pay, we will starve to death.
Be sure of that.
Thomas sankara Addis Ababa Ethiopia 29 july 1987 25 summit of OAU member countries

A strong words from the son of Africa

Even though many years has gone since it was said, is there any thing to learn in our days
 
Duh... alikuwa anapenda sana kuongea ukweli

"While revolutionaries as the individuals can be murdered you cannot kill Ideas"

I want people to remember me as someone whose life has bee helpful to humanity"

nimenukuu maneno yake.
 
Alikua dikteta uchwara huyo, mwanajeshi anayepindua serikali na kushika madaraka yeye ni dikteta na hafai.
 
mapinduzi hayafanywi na raia wa kawaida lazima awe mwanajeshi kwa akili yako kila mwanajeshi ni dictator
 
Umeona walichokifanya wale wa sudan? au zimbabwe? yale ndio mapinduzi, unaondoa utawala mmoja kisha mnakua na kipindi kifupi cha mpito kurekebisha katiba ili kuzuia ujinga usijirudie tena mkiwa mmekabidhi uongozi kwa raia.
 
kwa hiyo kumbe kila mwanajeshi sio dictator. bali dhamira yake ni nini kwa sankara hakukuwa na mbadala ndo mana akaona aingie mwenyewe na alifanikiwa sana na ndo rais pekee kwa wakati aliyeonyesha njia akapotezwa mapema sana na mabeberu
 
Hapo mabeberu awahusiki aliuliwa na rafiki yake aliyempindua anaitwa Blaise Compaore ambae kwa sasa anaishi ukimbizini baada ya kupinduliwa nae
 
Alikua dikteta uchwara huyo, mwanajeshi anayepindua serikali na kushika madaraka yeye ni dikteta na hafai.
Huwezi ukawa mjamaa na usiwe dictator haiwezekani.Ujamaa,udikteta na umasikini vyote ni pacha uenda pamoja
 
View attachment 1308462
The dept cannot be payed back,firstly because if we don't pay our debtors won't starve to death.
Be sure of that.
but if we pay, we will starve to death.
Be sure of that.
Thomas sankara Addis Ababa Ethiopia 29 july 1987 25 summit of OAU member countries

A strong words from the son of Africa

Even though many years has gone since it was said, is there any thing to learn in our days
Jembe kabisa...
 
To me, these were not revolutionary remarks. Mine would be, "...We know, we are poor. We know, you're rich. But, we better die trying to eradicate our poverty on our own than come begging for your help..!"
 
Back
Top Bottom