Neno "kamoon" lina maana gani?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Ni j.pili njema wakuu,

Poleni na majukumu ya and natumaini mambo yanenda kama alivyoyapangilia huyu alieshikilia mbingu huko juu bila kuweka nguzo.

Dhumuni la uzi huu ni kuhusu holi neno (kamoon) kwa kawaida huwa silielewi linamaana gani kwani hata leo wakati niko church katika mahubiri yule kiongozi wa ibada kapiga mahubiriii tulipokuwa tunashangulia ule upako yule kiongozi ndo akasema kamooooonnn!

Sasa hapo nikajiuliza hiv iametukana au hua ni kiwakilishi tuu au ni mizuka yake au no neno hia linajitokea kwenye mahubiri! Na hili neno sio hapo tu hataashuleni au huku mitaani au mastendini hua nalisikiaga hivi hua lina maana gani naombeni mnifafanulie wajuzi.
 
Hilo ni neno la kidhungu "come on". Ukitaka kujua maana yake kapekue kwenye kamusi.
 
Ni j.pili njema wakuu,

Poleni na majukumu ya and natumaini mambo yanenda kama alivyoyapangilia huyu alieshikilia mbingu huko juu bila kuweka nguzo.

Dhumuni la uzi huu ni kuhusu holi neno (kamoon) kwa kawaida huwa silielewi linamaana gani kwani hata leo wakati niko church katika mahubiri yule kiongozi wa ibada kapiga mahubiriii tulipokuwa tunashangulia ule upako yule kiongozi ndo akasema kamooooonnn!

Sasa hapo nikajiuliza hiv iametukana au hua ni kiwakilishi tuu au ni mizuka yake au no neno hia linajitokea kwenye mahubiri! Na hili neno sio hapo tu hataashuleni au huku mitaani au mastendini hua nalisikiaga hivi hua lina maana gani naombeni mnifafanulie wajuzi.
Si neno la Kiswahili
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom