Neno hili ni gumu kutamkwa katika kinywa cha Lowassa?

BABA CHELSEA

New Member
Sep 7, 2016
4
0
Katika maisha yangu ya kufuatilia siasa, sijawahi kumsikia Lowassa akitamka maneno ya kukemea rushwa, ni kwanini????
 
Uliwahi kusikia kahaba akimtahadhalisha mtoto wake asijihusishe na ukahaba? Ni sawa na hili suala la rushwa
 
Katika maisha yangu ya kufuatilia siasa, sijawahi kumsikia Lowassa akitamka maneno ya kukemea rushwa, ni kwanini????
kwani wewe tangu umezaliwa ushawai kusema au kutamka neno "kungusudumudu" nianze kukuuliza kwanini hutamki neno hilo!
 
Katika maisha yangu ya kufuatilia siasa, sijawahi kumsikia Lowassa akitamka maneno ya kukemea rushwa, ni kwanini????
Hujamfuatilia vya kutosha, alishakemea sana sanaaa, ingia youtube fuatilia hotuba na interview zake, usiwe unaongea bila research
 
Back
Top Bottom