T Truth guy. JF-Expert Member Oct 30, 2013 396 195 Dec 25, 2013 #2 Ni kweli kabisa,japokuwa watakuona una thread ya ajabu.
UNDENIABLE JF-Expert Member Feb 26, 2013 2,326 1,314 Dec 25, 2013 #3 kichenchele said: Vyumba vimejaa Click to expand... Wapi huko! Usiniambie dsm maana vyumba vyake havijai hata siku moja! sawa na daladala ambazo hazijai!
kichenchele said: Vyumba vimejaa Click to expand... Wapi huko! Usiniambie dsm maana vyumba vyake havijai hata siku moja! sawa na daladala ambazo hazijai!
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 25, 2013 #4 UNDENIABLE said: Wapi huko! Usiniambie dsm maana vyumba vyake havijai hata siku moja! sawa na daladala ambazo hazijai! Click to expand... Kwa leo usipo wahi mzigo mapema utazunguka kama unatumia taxi andaa 50000
UNDENIABLE said: Wapi huko! Usiniambie dsm maana vyumba vyake havijai hata siku moja! sawa na daladala ambazo hazijai! Click to expand... Kwa leo usipo wahi mzigo mapema utazunguka kama unatumia taxi andaa 50000
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Dec 25, 2013 #5 kujaa haiwezekan watu awaingii kulala. ukikuta zimejaa utaambiwa usubiri dakika 10