Neno hili hukosewa sana

Neno Stationery huwa mara nyingi huandikwa Stationary. Sehemu nyingi ilipo Stationery inaandikwa stationary.
Maana;
Stationery-duka la vifaa vya shule na elimu.
Stationary-kusimama au kubaki pale pale.
Nasubiri waje (sijui akina nani)
 
Neno Stationery huwa mara nyingi huandikwa Stationary. Sehemu nyingi ilipo Stationery inaandikwa stationary.
Maana;
Stationery-duka la vifaa vya shule na elimu.
Stationary-kusimama au kubaki pale pale.

What about Butcher and Butchery??
 
Dhibiti na thibiti ni maneno tofauti yenye maana tofauti,
Dhibiti inaweza kumaanisha kuzuia kwa uhakika, na
Thibiti inaweza kumaanisha kutambulika kwa hakika
Nasemea pale ambapo mtu anaandika thibiti mahali pa kuandika dhibiti. Ukisema tunathibiti ugonjwa usiendelee utakuwa unakosea. Inapaswa kuwa tunadhibiti, na si tunathibiti. Dhibiti is to control, prevent or regulate. Thibiti is to certify or confirm.
 
Dhibiti na thibiti ni maneno tofauti yenye maana tofauti,
Dhibiti inaweza kumaanisha kuzuia kwa uhakika, na
Thibiti inaweza kumaanisha kutambulika kwa hakika

Dhibiti siyo kuzuia kwa uhakika bali ni kuwekea mpaka wa kufanyika kitendo au jambo fulani ( control ). Kuzuia is to bar or prohibit wakati kudhibiti is to control.
Thibiti linatokana na neno thibitisha ( assure). Wathibiti ubora wa shule yaani wakaguzi wa shule huitwa school quality assurance officers wakati mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali huitwa Controller and Auditor General! So kufhibiti is to control and kuthibiti is to assure!
 
Back
Top Bottom