mi hua nazimia aka napoteza fahamu:lying: so hata sijui nilicho mwambia
Pole ..najua bf wako atakuwa sio mpemba manake si unajua ukizimia balaa lake?
nna dem wa kitangahaha!
Hahaha haya bana.. Yani mtoto anakupa mambo ya baikoko hadi unazimia?