Neno gani la "kibongo" linakupiga chenga??

Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Nini maana ya mnono bongo?
 
Chitola - chuma ulete

Matamba- ugali wa muhogo

Songola - bania chenji chenji baada ya kutumwa,au ombea kitu pate kwa bei ya chini alafu ile iliyobaki unaiweka takoni hiyo ndo tunaita songola.

Cheche- mwanaume anaekula wanaume au wanawake kwa njia ya miujiza,usiku au mchana.

Hizi ni terminologues za LINDI HUKO.
Hapo kwenye matamba umenikumbusha mbali japo sijaahi uona ila kusikia wakitamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi hushangaa vile waBongo hutamka L karibu kama R
Siyo watanzania wote wanaojuwa kiswahili fasaha,kuna wangine wakiongea hicho kiswahili unaweza sema ni mgeni flani hivi,kiswahili fasaha nenda pwani.
 
Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Ila shuleni alifundishwa tofauti.
Mnono ni kwa nguruwe ilhali mnene ni kwa binadamu
 
Chitola - chuma ulete

Matamba- ugali wa muhogo

Songola - bania chenji chenji baada ya kutumwa,au ombea kitu pate kwa bei ya chini alafu ile iliyobaki unaiweka takoni hiyo ndo tunaita songola.

Cheche- mwanaume anaekula wanaume au wanawake kwa njia ya miujiza,usiku au mchana.

Hizi ni terminologues za LINDI HUKO.

1. Yondo Sister, wale wale = Panya wa kubabua/luchoma
2. Watoto wa Malecela, Wagogo wa Jangwani, Omba Omba - Yanga FC
3. Wanaue wa Dar, Tanga, Zanzibar, Pemba = Wanaume wa hovyo, Mashoga
 
Back
Top Bottom