Hee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.
Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.
Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.
Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.
Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.
Ni hayo tu.