Nenda katika matawi haya ya CHADEMA kachukue kadi yako leo hii

Wana website yao nimetuma request tangu mwaka jana December hakuna reply ss kwann waliweka ukitaka kuwa mwanachama??
 
Lakini hao uliowataja wana nguvu ya maamuzi kwenye chama kweli? Mbona mwenye maamuzi anaonekana Mhe. Mbowe tu, tofauti na wenzenu wa CCM ambao wanaonekana wanatoa uhuru mkubwa sana kwa wanachama wao.

Basi wewe mpuuzi unaambiwa kitu cha ushahidi unaanzisha mengine kajiunge na Chama la Magamba ndilo lenye fikira finyu kama zako.
 
Kwa wakazi wa Moshi tunapata wapi kadi?
Ritz nadhani umeuliza kwa nia njema ya kutaka kujiunga na Chadema-chama makini Tanzania bara na visiwani. Basi ngoja tusubiri mwenye kufahamu zilipo ofc za chadema kwA Moshi atuelekeze. Hii ni kwa faida ya wote, na si kwa Ritz pekee.
 
Lakini hao uliowataja wana nguvu ya maamuzi kwenye chama kweli? Mbona mwenye maamuzi anaonekana Mhe. Mbowe tu, tofauti na wenzenu wa CCM ambao wanaonekana wanatoa uhuru mkubwa sana kwa wanachama wao.
Basi nenda kajiunge na CCM. Unao uhuru huo.
 
Nimeianzisha thread hii makusudi ili tuweze kufahamishana zilipo ofc za chadema. Asanteni kwa muitikio wenu, mwenye kujua zilipo ofc za CHADEMA Kigoma, bagamoyo na Njombe kusini tafadhali aziweke hadharani ili members waende wakachukue kadi.Asanteni
mikocheni kwa nyerere? Ofisi ya karibu ni wapi?
 
Mkuu kama unafahamu ingependeza sana kama ukiweka hadharani.
Ok,kwakuanzia na ofice kuu za chama,fika stand ya kuu ya ma basi,makubwa,jengo la NAMVUA PLAZA FLOOR No4,pia Kijenge opposite na kituo cha mafuta cha GAPCO,barabarani tu ipo,Maji ya Chai pia ipo-barabara kuu ya moshi/Arusha,utaiyona...nyinginezo ntazicheki kwenye list wadau!!
 
Kwa walioko Moshi ofisi zipo majengo karibu na SDA church hapo uliza yoyote kuhusu zilipo ofisi atakuambia.
 
Rorya fika Shirati - Obwere karibu na Depot ya Zacharia ya Coca Cola ulizia ofisi za Chadema au ulizia Mwenyekiti wa CHADEMA Rorya ambaye pia ni diwani wa kata ya Tai.
Rorya oyeee!!!!!!
2015 mpaka kieleweke Rorya!
"PEOPLE'S.................POWER"!!!!!
 
Kwa watu wa dar es salaam maeneo ya boko-dawasa,boko-ccm wafike boko-basihaya lako la iliyokuwa basihaya campsite sasa hivi secondary ya lyceum uliza imma pale getini.
 
Back
Top Bottom