NEMC yakifungia kiwanda Mkuranga

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Baraza la Mazingira la Taifa(NEMC) yakifungia kiwanda cha kutengeneza mifuko cha Bubu Gao kinachomilikiwa na raia wa China.

Kimetozwa faini ya shilingi Milioni 5 wilayani Mkuranga mkoani Pwani.

 
Kama wamekiuka taratibu za Nchi na walimwe faini tu hakuna namna.
 


NEMC yakifungia kiwanda cha kutengeneza mifuko cha Bubu Gao kinachomilikiwa na raia wa China na kukitoza faini ya shilingi Milioni 5 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, Wamesema wamekifungia kwa muda ili kirekebishe makosa yake
Mchina huyo akijielezea amesema tatizo ni lugha ya Kiswahili ndio ilimpa kikwazo kufuata taratibu kwa kuwa haifahamu na lengo lake halikuwa kufanya mambo kiujanja ujanja
 
Nimecheka sana na hayo maelezo ya mchina aisee ...tudumishe kiswahili kumbe kinalipa sana.
 
Hawa Wachina wanajifanya hawajui lugha ni ulaghai tu, kila kitu wanaelezwa kabla ya kuanza biashara na mamlaka husika, kwa sasa wanaongoza uharifu kuliko raia wote wa kigeni wanaoishi Tanzania, jaribuni kufatilia,
 
Hawa Wachina wanajifanya hawajui lugha ni ulaghai tu, kila kitu wanaelezwa kabla ya kuanza biashara na mamlaka husika, kwa sasa wanaongoza uharifu kuliko raia wote wa kigeni wanaoishi Tanzania, jaribuni kufatilia,
watanzania wanaokamatwa na dawa za Kulevya China wanajua Kichina??
Tatizo hapa wakati wa JK wamekuja wachina Wengi kwa makubaliano ysiyojulikana
 
Back
Top Bottom