NEMC, BOMOA BOMOA NA SHERIA DHIDI YA WAKAZ MABONDEN

Ramark

JF-Expert Member
May 19, 2015
1,989
1,447
Habar wakuu

Nimejiuliza sana juu ya bomoa bomoa ya wakaz wale nikarudisha fikra nikakuta kuwa watu hawa wengi na makaz yalianza hata kabla ya uhuru kama sehemu za walala hoi pia baada ya ukomboz wachina walijenga kiwanda cha urafiki ambako ndio kulikuwa mbali na makazi ya watu watu walitoka magomen kuanzia mapipa, makumira, member, chai kagera. Tandale n.k wakat sehemu ya ubungo ikiwa bado na wenfine jangwan hivyohivyo hata kabla ya kifo cha karume yanga ilikuwa pale na simba na wanachama walikaa hapo magomen na ilala pia kariakoo.

Wakaz hawa shughuli zao zingine zilikuwa kubeba mizigo kariakoo, bandarin, na umachinga kariakoo na posta n.a. wengine wavuvi na wachuuz feri na wafanyaji kazi maofisin, dukan, na wazurulaj

Haya ndio maisha ya awali wa wakaz wa pale hadi kigogo, pia hii ilitokana na mgawanyik wa matabaka na nyumba zilizokuwepo huku watu wakiongezeka kwa ajili ya umjini wa daressalaam hata hivyo nyerere aliwapunguza wengine na sehemu nyingine zilikuwa mashamba kama tabata na sehemu za ubungo mikochen na kawe

Nemc nchin amezaliwa lini mi cjui lakin hana miaka ishirin je ndio kawa mkubwa kuwavimbia hawa hapo juu

Sheria za nemc zinatakiwa kufuatwa na kutekelezwa huku wakishauriana na mipango miji na kuwaamisha bila kuharibu principle ya utu na uwote katika maadili ya watu
Ni sehemu hatari ndio je hatari ya watu kulala nje na kunya ovyo, na kuondolewa kanuni hiyo na kanuni ya kujali na kunufaika na kuongeza umasikni wa kipato na mali

Tujiulize demu wangu alizaliwa hapo 1983 akiwa na wazazi kipindi wakiishi wakiwa wengi tu, haya kipind karume anatoa hela jengo lijengwe serikali ikatoa Kibali haikuona ni sehemu hatarishi? Na wengine waliopewa viwanja kabla na baada kwa hati hawakujua ni hatari basi tuseme walilala sasa mboga waunguze wao sisi tuwanunulie inakuja?

Mwana sheria wa nemc na maafisa mipango miji tafakar then rudin katika maoni ya wadau katka kuandika sheria hiyo halafu jaribun kutoa tafasri ya sheria hiyo Kwa wakaz hawa wanaoikulia sheria hiyo.

Tukubalin mimi na ninyi kuwa watu na makaz huongeza hatar katika bonde na mto
Bonde hilo hapo awali halikuwa na hatar iliyopo bali nyumba zimekuwa nyingi tena bila mpangilio ulio sababisha hatar hii. Lakini pia kuna nyumba hazina hatari likn zinaondoka hadi nje mita za sheria kwa sababu wanabomoa huku plan ya hapo wameandaa vichwan kwa ajili ya kutukuzwa

Ndio maeneo hayo yanapaswa kuheshimu sheria na kuhama au kubomolewa baada ya maridhiano ya kina ya serikali na wananchi lasivyo firauni utapotea kwa uwezo wa fimbo ya mkono wa kulia wa wana wa nchi, watu wengi wanataka viwanja licha ya kwamba hata mabwepande watakufa njaa kwan ni mbali na kule wanakotafutia au kupiga mzinga.

2012 tulisema sana juu ya hawa kuhama kufuatia agizo la serikali wakadai huko hawana chanel na sisi tukasapoti lkn hoja haikuwa sheria ilikuwa mafuriko na hatari ya maisha wakahama leo tunakutaman na chaneli mpya wamepata, na hawa waondoke lkn wapewe muda n.a. serikali pamoja na Wadau wawasaidie. Lkn ninamashaka kwan serikali haijawaheshimu hta Wadau hawatajaribu

Serikali na viongoz wa kisiasa wajaribu kufanya yafuatayo:_
1. Wazuie ubomoaji na wahakiki wakazi waliopo na kutenga maeneo ya kuanzisha makazi mapya katika milki za jiji ilizonazo kwa hapa dsm.

2. Watoe viwanja na maeneo Kwa familia zilizoakikiwa kuwa na nyumba na zinazoishi hapo kwa kupanga kwa ajir ya kuboresha maisha yao kama wako tayar.

3. Serikali iite wadau Kwa ajili ya kusaidia uhamaji na msaada kwa wakaz hao ambao kiukweli wamekumbwa na janga la kisheria.

4. Nemc ipanue huo wigo kisheria na bonde lihifadhiwe kisasa.

5. Serikali pia ifikirie kuwalipa wale wote nyumba zao zilikuwepo kabla ya sheria hata nusu ya thamani tu.

Asante

Karibun wadau
 
Kiukweli inabidi watathimin then watoe hata viwanja tu vinatosha watu watajikongoja watajenga tena kuliko hili la kuwaacha bila bila ya makaz tuyakuja kuzalisha wezi na madada poa wengi lipimo ambacho hakijawah tokea
 
Makumira ipo Dar Sikuhizi?
 
Kiukweli inabidi watathimin then watoe hata viwanja tu vinatosha watu watajikongoja watajenga tena kuliko hili la kuwaacha bila bila ya makaz tuyakuja kuzalisha wezi na madada poa wengi lipimo ambacho hakijawah tokea

Ukisema hivyo unanikumbusha madhara ya kumuadhibu mjeruman baada ya vita ya kwanza ya dunia walipozalisha ukatili wa kifashisti
 
Usilolijua litakuzuzua na kukuacha uungue na jua unadhan arusha t
Nenda magomen ulizia makumira halafu ulete majibu
Mi navyofahamu ni Makurumla na sio Makumira wewe ndio ukaulize vizuri...

10.JPG
 
Back
Top Bottom