Nembo ya Tanganyika au ya Tanzania ?

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Haya mambo mkanyago, kuna mambo nyerere aliyachanganya kila cha tanganyika kukifanya cha tanzania, sasa Tanganyika inarudi, itakuwaje mambo haya.

Wimbo wa taifa wa tanzania ndio wimbo wa taifa wa Tanganyika
Bendera ya Tanzania ndio ilikuwa bedera ya Tanganyika.
Nembo ya Tanzania ndio nembo ya tanganyika.

Tuachwe tupumue wazanzibari tumechoka kutawaliwa. 1613330.jpg images2.jpg images.jpg
 
Nyie wazanzibari mnataka nini? Sisi tupo milioni 45 nyie mpo milioni 3. Mna bahati nyerere alikua dictator mwenye roho nzuri. Nyie mlibidi msiwe na serikali yenu. Mlibidi zanzibar iwe koloni letu. Ukitoa taarabu na mambo ya kishoga hamna kitu chochote mnacholeta tanganyika.
 
kilicho kuja Zanzibar kutoka tanganyika ni wizi,umalaya na ulevi miaka 50 ya muungano na wakeketaji imekuwa janga kubwa kwa taifa la Zanzibar afadhali na uraiya na uhamiaji usiwe muungano wapungue kuja wauza sumu za panya na vibaka wa kibongo.
 
Matusi hayo, na nyie mumetuletea umalaya, mpaka wa masai wa kiume wanajiuza huku kwenye fukwe zetu.
 
Bila Tanganyika Zanzibar isingekuwepo. Wapemba wangetaka uhuru. Kumbuka shein ndo mpemba wa kwanza kua rais nyie wazenji bila sisi msingemkubali. Nyie mlikua mnamtaka bilali. Kama upendi muungano nitajie mambo muhimu ambayo sisi tunawazuia kufanya. Viongozi wenu hatuwazui kuwaletea nyie maendeleo. Culture yenu wanaume ni wavivu, hawana elimu, wake wengi, mashoga. Hao masai wanakuja huko coz wanajua nyie mnapenda ishu hizo.
 
kilicho kuja Zanzibar kutoka tanganyika ni wizi,umalaya na ulevi miaka 50 ya muungano na wakeketaji imekuwa janga kubwa kwa taifa la Zanzibar afadhali na uraiya na uhamiaji usiwe muungano wapungue kuja wauza sumu za panya na vibaka wa kibongo.

Teh!teh!teh!umeuwa.
 
  • Thanks
Reactions: lum
Tupunguzeni matusi tujadilini hoja,hivi huu muungano hauna ruhusa kwa nchi nyengine kujiunga?mbona kwenye rasimu cjaliona hili jambo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom