Nembo ya "Kenya Bureau of Halal Certification" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo Taasisi?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu;

Logo ya "KENYA BUREAU OF HALAL CERTIFICATION" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo taasisi?

IMG_20200212_095924_253.jpg

Tazama hilo kopo chini ya QR (Quick Response) Codes
IMG_20200212_095951_147.jpg

Kenya Bureau of Halal Certification (KBHC) is a Not-for Profit making entity whose aim is to ensure that all products comply with maximum hygienic and humanitarian standards required by Islamic dietary laws. KBHC monitors these products at every point, from the source to the consumer.

This is done by means of thorough inspection and continuous checks by KBHC trained inspectors , thereby eliminating doubts and granting the general public full confidence and assurance when choosing to buy ‘Halal' products.

Consuming Halal is an order from God (Allah SWT) therefore it is important for a consumer to have full confidence that the product he/she intends to buy is ‘Halal' (permissible), ‘Tayyib' (pure) and does not contain anything doubtful. KBHC was born and operates essentially out of one concern only: to be able to provide assurance that what we are consuming is HALAL.

NB: Uislamu ni dini safi kama ulivyo ukristo. Sote kwa pamoja tukemee wanaoeneza chuki za kidini kwa njia mbalimbali kama vile kuchana Quran pamoja na vitabu vingine vitakatifu.

OUR MOTTO: USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Umeleta uzi mzuri sana mkuu na tuujadili kwa kuupanua wigo wake,kwa nchi zinazojielewa hii nembo ni kitu muhimu mno,elewa bidhaa inapozalishwa na kupelekwa kwa mlaji/ mteja ni muhimu iwe na informations nyingi ambazo zitamsaidia mnunuaji kuamua kuinunua au la.

Ndio maana kuna bidhaa zenye nembo ya kiyahudi ,palestinne,n.k.sasa hizi nembo zinamsaidia mteja kufanya uamuzi wa kununua au kutonunua maana wengine wameamua kutonunua bidhaa za Israel kwa sababu zao na hizi nembo za Halaal zinasaidia kumfanya mnunuzi aelewe kuwa bidhaa ile imetokana au imetengenezwa kwa kufuata sheria kuwa sio najisi.

Ndio maana kuna migahawa mengi tu ambayo kabla ya kuingia mlangoni wameonyesha habari zao ili usije lalamika kuwa umelishwa kitu ambacho kinakinzana na imani zako.sisi tumechelewa kulifanya hili na kuna tofauti kubwa sana kati ya Hallal one na tbs.
 
Labda ndio demand/rules zao kwa bidhaa ambazo ni imported,
Agent wa Kenya huenda ametaka hiyo logo ili bidhaa inunulike na watu wa dini zote bila kua na shaka,ni jambo la kawaida hilo.

Mfano Serikali ya Tz inaweza kuiambia China kua bidhaa zake ziwe na instructions kwa lugha ya Kiswahili.
 
Labda ndio demand/ rules zao kwa bidhaa ambazo ni imported,
Agent wa Kenya huenda ametaka hiyo logo ili bidhaa inunulike na watu wa dini zote bila kua na shaka,ni jambo la kawaida hilo,

Mfano Serikali ya Tanzania inaweza kuiambia China kua bidhaa zake ziwe na instructions kwa lugha ya Kiswahili.
Kaka, kwani Hala Bureau ya Kenya pamoja na Halal Bureau ya Tanzania wanatumia sheria tofauti?
 
Umeleta uzi mzuri sana mkuu na tuujadili kwa kuupanua wigo wake,kwa nchi zinazojielewa hii nembo ni kitu muhimu mno,elewa bidhaa inapozalishwa na kupelekwa kwa mlaji/ mteja ni muhimu iwe na informations nyingi ambazo zitamsaidia mnunuaji kuamua kuinunua au la.

Ndio maana kuna bidhaa zenye nembo ya kiyahudi ,palestinne,n.k.sasa hizi nembo zinamsaidia mteja kufanya uamuzi wa kununua au kutonunua maana wengine wameamua kutonunua bidhaa za Israel kwa sababu zao na hizi nembo za Halaal zinasaidia kumfanya mnunuzi aelewe kuwa bidhaa ile imetokana au imetengenezwa kwa kufuata sheria kuwa sio najisi.

Ndio maana kuna migahawa mengi tu ambayo kabla ya kuingia mlangoni wameonyesha habari zao ili usije lalamika kuwa umelishwa kitu ambacho kinakinzana na imani zako.sisi tumechelewa kulifanya hili na kuna tofauti kubwa sana kati ya Hallal one na tbs.
 
Halaal Certificate Ni Mtaji wa Heoa za Kufadhili Ugaidi.. hauna maana yeyote Ile kwa Secular States.
 
Halaal Certificate Ni Mtaji wa Heoa za Kufadhili Ugaidi.. hauna maana yeyote Ile kwa Secular States.

Huu ni uongo dhahiri naona umejifungia ndani tu na hujatoka nje
Hata Ulaya wanatumia hizo nembo kwenye bidhaa nyingi sana na mpaka makampuni ninayosambaza chakula airports wanaweka halal products pekee
Pia allergens products zinawekewa alama pia
Supermarkets zote zina sehemu za halal siku hizi kama hujui
Au unataka na picha

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom