Nelson Mandela: Wanasiasa wanajidanganya sana kwa kufikiri maadui zao ndio maadui zetu pia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Nimeyasikia maneno haya ya rip Mandela leo asubuhi kupitia clip iliyowekwa pale TBC luninga. Mzee Mandela aliyasema maneno katika kipindi cha mahojiano alichofanyiwa na mtangazaji kutoka Marekani wakati huo Madiba akiwa ameshastaafu siasa.

" Wanasiasa wanajidanganya sana kwa kufikiri maadui zao ndio maadui zetu pia "......ni ujumbe unaofikirisha sana.

Source TBC

My take;
Watanzania ujumbe huu unawahusu sana wanasiasa wetu!
 
Back
Top Bottom