Nelson Mandela, South African Icon of Peaceful Resistance dies at 95

Taarifa kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari vinasema mmoja wa baba wa Afrika, raisi wa kwanza wa Afrika ya kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia.

Rest in Peace Nelson Mandela.
May the lord in heaven forgive your sins and accept you into his eternal life.

Amen.
 
1994 Elected first black president
1999 Steps down as leader

Mbowe ana cha kujifunza hapa, kwa mtini jifunzeni
 
Kazi uliyotumwa na bwana ya kuwapigania weusi dhidi ya utawala dhalimu wa ubaguzi wa rangi kutoka kwa wakoloni wa kizungu ulishaimaliza Siku nyingi, kapumzike kwa amani mzee wetu Nelson Mandela. Amen!
 
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia. Kifo chake kimetangazwa na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma jana usiku. Mandela amefariki dunia nyumbani kwake mjini Johannesburg.

Source: Different Media Channels
 
Wewe itakuwa unategemea kupata habari kutoka TBC otherwise usingepost habari hii saa hizi ambayo vyombo vya kimataifa vimeireport masaa 6 yaliopita wakati TBC ikiendelea na mirindimo ya pwani ya Asha mashauzi.
 
Imetosha kwa mema mengi uliyofanya hapa dunian. Nenda baba kapumzike kwa amani.
RIP mzee Madiba
 
Inauma sana tu watu wazuri wanafariki ila wabaya wanadunda tu uraiani. kama wangekuwa wanaonana naamini atakua na jamaa ake Mwalimu JK anamjuza kitu gani kiliendelea Afrika hasa hasa Tanzania baada ya kufa kwake.
 
RiP Mandela

Nakumbuka hii quote "only free men can negotiate, prisoners cannot enter into contracts"
 
Umeikamilisha safari yako ndefu na yenye misukosuko mingi kwa mafanikio makubwa, Naam mwili umekufa lakini bado utaendelea kuishi mioyoni mwa wengi vizazi vingi vijavyo, Mwenyezi Mungu akusamehe Makosa yako kama binadamu na Akupumzishe Rahani mwake kwa amani. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
 
inahuzunisha sana madiba hatunaye tena kitu muhimu kujifunza kwake ni uhuru na kusamehe ndio ilikuwa nguzo yake kubwa katika utawala wake na maisha yake
 
Rip madiba,,,,,,, mpe salam jk nyerere utabili wake kwamba ccm inakufa umetimia sasa
 
Kama ingekuwa ni kura hakika mimi nisingekuchagua mzee kwa safari hii,simpangii muumba kwan yeye anajua zaid!!!!!!

Wapo manyang'au wengi wangetangulia ili kupata amani ya mioyo yetu na uhakika wa maisha ya vijana wetu!!!!!!

Baba muumba mbingu umechuma ua lile tulipendalo zaid,lile lililokuwa likiogopwa na magugu hapa bustanini!!!!!!!

R.I.P Madiba;moja ya kuta kuu kabisa za nyumba yetu imeanguka!!!!!

So painful to loose a true man,real leader with huge deposit of humanity in him!!!!
 
Back
Top Bottom