Nelson mandela, kiongozi aliyetokea kuwa na moyo wa pekee duniani ktk karne ya 20

MBIIRWA

JF-Expert Member
May 24, 2013
2,585
5,245
Kiongozi huyu hata baada ya kufungwa gerezani kwa kipindi cha miaka 27 hakulipiza kisasi baada ya kuwa Rais. Viongozi wa Africa na dunia nzima lipi wajifunze kutoka kwa shujaa wa Afrika.
Je ingekuwa wewe usingeng'oa meno na kucha wabaya wako. Embu funguka
 
Kiongozi huyu hata baada ya kufungwa gerezani kwa kipindi cha miaka 27 hakulipiza kisasi baada ya kuwa Rais. Viongozi wa Africa na dunia nzima lipi wajifunze kutoka kwa shujaa wa Afrika.
Je ingekuwa wewe usingeng'oa meno na kucha wabaya wako. Embu funguka
Kwa design ya viongozi wetu wengi wa kiafrika walivyo,basi kwa kutumia uamiri jeshi wao mkuu,siyo tu wangewatoa tu kucha kwa koleo,bila kutumia ganzi,bali pia wangewanyofoa pia macho,ili kuwapa upofu maadui zao.

Kwani hayo mambo si tayari,tushayaona yametokea kwenye baadhi ya nchi zetu za bara Afrika.

Tena kwa baadhi ya viongozi ukiwatazama usoni,hutazamii mambo hayo yajitokeze nchini mwao.

Ukiiwatazama usoni,wanaonekana waungwana kweli, and they always give you a convincing smile,lakini matendo yao ni contrary na unavyowatazama usoni,ndani ya mioyo yao,wamejaza ulipizaji wa visasi!!
 
As a cosmologist, I find it amazing that we can accurately analyse and predict what is happening at distances ten trillion times greater than our solar system. For this, Albert Einstein is our icon and he showed us the power of the mind to understand the universe.

Equally amazing are our human qualities, our capacity to work together to better society, to provide for others, and to determine our destiny. In the arena of intelligent humanity, Nelson Mandela is the icon of the twentieth century.

Neil Turok - Mandela: Politics his profession, education his passion - The Globe and Mail
 
Back
Top Bottom