Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,421
- 1,586
Habari ya asubuhi wanajamvi
Nelson Mandela foundation walitangaza kazi kupitia mitandaoni wanasema wanataka vijana kwaajili ya kufanya kazi kwenye maswala ya utapiamlo, na umasikini yaani kutoa misaada katika maeneo hayo wakasema tutume cv.
Mimi nilituma cv, baada ya cv wakasema nitume vyeti vya taaluma na kuna form wakasema nijaze nikajaza.
Baadaye wakanitumia barua kuwa nimekuwa appointed kufanya kazi na kazi hiyo nitaifanyia Hapa Hapa ninapoishi ila itabiidi nitafute au ni analyse eneo la tatizo. Nikaona haina shida wakaniambia niandae mazingira ya ofisi na nifungue account ya online offshore account kupitia chase bank Kenya.
Nikafanya hivyo sasa kilichonipa wasiwasi na ndo chazo cha uzi huu ni kwamba Hawa chase bank wanataka ni deposit $100 ambayo sawa na 220000 za bongo dah napata wasiwasi wasije Kuwa matapeli.
Je? kuna mtu humu ameapply hii kazi na amefanikiwa au yeyote mwenye uzoefu na hizi issues atupe uzoefu nitashukuru kwa msaada.