Nelson Mandela alihalalisha uporwaji wa Ardhi ya Afrika Kusini kwa Boers halafu anaitwa Baba wa Afrika. Afrika tumerogwa na nani?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,589
14,135
Nawasalimu kwa jina pendwa la JMT..Kazi iendelee.

Ni jambo la kushangaza eti Nelson Mandela aliyekuwa Kiongozi mpigania Uhuru wa Afrika Kusini kuitwa Baba wa Amani Afrika..

Inawezekanaje mtu aliyewasaliti watu wake kisa kutolewa jela na kusaini makubaliano ya kuhalalisha uporaji wa Ardhi ya Weusi uliofanywa na Boers eti anaitwa Shujaa na kusherekewa?

Huyu bwana alihalalisha Eneo la asilimia 80% la Ardhi ya Afrika Kusini kumilikiwa na Boers ambao ni chini ya 20% ya Watu huko Africa Kusini..

Yet mtu kama huyu eti Afrika inamuona ni shujaa,huyu ni shujaa wa Wazungu ndio wanapaswa kumfurahia.

Uhuru ni Ardhi sio bendera sasa huna Ardhi wewe si ni kijakazi tuu.? Yaani wenzake wamwage damu kwa ajili ya kupigania Ardhi ila yeye akaishia kuwapa hiyo ardhi ilimradi tuu ametolewa jela na kupewa madaraka ya kisiasa..

Ona watu wake wanavyoteseka na wamefikia mahala kuua ndugu zao wa damu kwa kupumbazwa na Wazungu wahamiaji..

Mandela hafai kabisa kuwa mfano kwa vizazi vyetu, kiongozi pekee wa kupigwa mfano hapa Afrika angalau ni Mwl.J.K Nyerere.

--
Nelson Mandela sold out black South Africans. Now there's a sentence you won't have heard in the days since his death and that you won't be hearing at his memorial tomorrow. Yet it's incontrovertibly true that after centuries of being robbed of possibly the greatest mineral wealth the world has ever known, not to mention decades of being repressed by apartheid, black South Africans got almost no compensation for what should rightfully have been theirs when the old regime was swept away for the new South Africa.

Indeed, the basic deal Mandela struck from prison with F.W. de Klerk, and which was subsequently enshrined in the South African constitution, essentially guaranteed the existing property rights of white South Africans in exchange for an end to apartheid.


For whites, the deal made sense. Apartheid could not be maintained forever against international pressure and internal resistance. The odds of holding onto the material benefits of the oppressive traditional system were much higher with black African enfranchisement than without it. A successful revolution would lead to the dispossession of whites, just as it had in almost every other corner of formerly colonial sub-Saharan Africa. What Mandela was promising was more than half a loaf. It was a whole loaf of wealth with a proportionately small loaf of political power.

For black South Africans, especially supporters of the African National Congress who had idolized Mandela during his 27-year imprisonment, the choice was much harder. What they were giving up was nothing less than their material patrimony. Over many generations, blacks in South Africa might build businesses and earn money, and a slice of leadership might emerge as a political-business elite entitled to a share of the country's national wealth. But for most black South Africans, there would be no major opportunity to change the economic conditions of their lives in the foreseeable future. Wealth would remain with their former oppressors.

On the positive side, if black South Africans could accept the deal Mandela had struck, the country might avoid the flight of whites -- and with them white capital -- that had happened in other countries on the continent. In the aftermath of morally justified redistribution of wealth, many sub-Saharan countries had found themselves poorer, not richer. It was a gamble for the poorest South Africans to bet that forgoing their just rights might actually leave them slightly better off in the long run; but it was a gamble arguably worth taking.

A further potential upside of the deal was harder to articulate publicly. Many post-colonial African countries had evolved from colonialism to proud independence to patrimonial, despotic dictatorship in just a generation. Perhaps the continued presence of white South Africans in positions of economic importance would create an incentive for the ANC leadership to govern democratically. No credible democratic political opposition to the party that fought for and achieved freedom was going to exist for a long while. To keep the government honest, then, a different threat was needed: The threat of flight by white capital should the ANC subvert democratic practices and values might actually help the country going forward.

The black South African public may not have realized, in the first flush of pride in their freed leader and his global prestige, exactly what deal they were implicitly taking. But the constitutional process, admirably accomplished over several years in full public view, made the deal more or less transparent. For the most part, black South Africans voted to take the deal. They were, in essence, validating Mandela's promises to de Klerk and white South Africa. The rhetoric of brotherhood and nonvengeance -- exemplified, for example, in Mandela's embrace of the Springboks national rugby team -- was the cultural counterpart to the promise of continued coexistence under white economic dominance.

Opinion. Data. More Data.Opinion. Data. More Data.Opinion. Data. More Data.
Get the most important Bloomberg Opinion pieces in one email.Get the most important Bloomberg Opinion pieces in one email.Get the most important Bloomberg Opinion pieces in one email.
Was Mandela right to sacrifice justice for the chance of a richer and more democratic South Africa? The question of his heroic status depends on the answer. Looking at the career of Yasser Arafat, who consistently made a different choice, inclines one to think that the answer is yes. A politician shouldn't act on what is absolutely fair, but what is pragmatically most likely to succeed in the real world.

Yet, as we mourn Mandela, it is also worth remembering that, like almost all constitutions, South Africa's founding pact was born in the sin of compromise. Compromise is sin because people don't get what they deserve. But that sin is necessary, because after it's committed, people are better off than they would be without it.

The international community rightly reveres Nelson Mandela as a man of peace. But he was not a saint -- and for that we should be grateful. He brought peace through his ability to convince millions of his countrymen that they should accept much less than they were in justice owed.

Source: Was Mandela Right to Sell Out Black South Africans?
 
uko sahihi kabisa! sijui jamaa walimfanya nn hadi kusaliti watu wake kiasi hiki! aliwasaliti pakubwa sana aisee
Walimtoa jela na kumpa Urais hewa..

Sasa unadhani Waafeika kule walikuwa wanapigania Nini kama sio Ardhi yao uliyoporwa na wazungu? Ila Mandela akasaini kwenye makaratadi hadi leo hii Ardhi ni ya wazungu.
 
Mugabe aliwanyang'anya ardhi wakoloni na kuwapa waafrika wenzake. Idi Amin aliwanyang'anya wahindi biashara zao akawapa waafrika wenzake na akawafukuza nchini. Sasa hivi wazimbabwe wako tayari kuishi maisha duni Afrika ya Kusini kuliko kubaki kwao. Museveni alipoingia madarakani aliwaangukia wahindi waliofukuzwa ili warudi na waendeshe mashamba na biashara zilizoporwa. Sisi wenyewe tuliwanyang'anya nyumba na biashara za wahindi lakini mwisho wa siku tukawarudishia kimya kimya.
Mandela anastahili heshima anayopewa.

Amandla...
 
Nawasalimu kwa jina pendwa la JMT..Kazi iendelee.

Ni jambo la kushangaza eti Nelson Mandela aliyekuwa Kiongozi mpigania Uhuru wa Afrika Kusini kuitwa Baba wa Amani Afrika..

Inawezekanaje mtu aliyewasaliti watu wake kisa kutolewa jela na kusaini makubaliano ya kuhalalisha uporaji wa Ardhi ya Weusi uliofanywa na Boers eti anaitwa Shujaa na kusherekewa?

Huyu bwana alihalalisha Eneo la asilimia 80% la Ardhi ya Afrika Kusini kumilikiwa na Boers ambao ni chini ya 20% ya Watu huko Africa Kusini..

Yet mtu kama huyu eti Afrika inamuona ni shujaa,huyu ni shujaa wa Wazungu ndio wanapaswa kumfurahia..

Uhuru ni Ardhi sio bendera sasa huna Ardhi wewe si ni kijakazi tuu.? Yaani wenzake wamwage damu kwa ajili ya kupigania Ardhi ila yeye akaishia kuwapa hiyo ardhi ilimradi tuu ametolewa jela na kupewa madaraka ya kisiasa..

Ona watu wake wanavyoteseka na wamefikia mahala kuua ndugu zao wa damu kwa kupumbazwa na Wazungu wahamiaji..

Mandela hafai kabisa kuwa mfano kwa vizazi vyetu, kiongozi pekee wa kupigwa mfano hapa Afrika angalau ni Mwl.J.K Nyerere.
Wakati anafungwa jela mwaka 1964 kifungo cha maisha wewe mleta huu uzi ulikuwa bado hujazaliwa pengine.

Leo hii unakuja kulaumu masuala usiyokuwa na ufahamu wake wa ndani.
 
Mandela anapewa promo sababu aliisamehe mizungu iliyomfunga na kuwapa uhuru wa kuendelea kuitafuna SA.

Hakuna cha ajabu kingine Mandela alifanya na kwenye jukwaa la bara la Africa ndo hajafanya kitu kabisa. Kina Nkurumah na Nyerere whom I believe is the most unsung here of Africa wameifanyia Africa makubwa zaidi kuliko Mandela.

Amandla.
 
...Hujawahi kufikiwa na Point Of NO SELECTION but YOU MUST ACCEPT, kwa miaka aliyokaa Jela na maisha yakawa yanaendelea watu na watu wameshakufa wanaojua status yake ni wasio na impact unadhani kuna mabadiliko angefanya zaidi ya kungojea kifo... Alichofanya alijua uwezo wake umeishia pale, Muda utasolve.!
 
...Hujawahi kufikiwa na Point Of NO SELECTION but YOU MUST ACCEPT, kwa miaka aliyokaa Jela na maisha yakawa yanaendelea watu na watu wameshakufa wanaojua status yake ni wasio na impact unadhani kuna mabadiliko angefanya zaidi ya kungojea kifo... Alichofanya alijua uwezo wake umeishia pale, Muda utasolve.!
Yeye jela tuu ,huo ni ubinafsi wa Hali ya Juu ,mbona wenzie walikufa kabisa Kwa mateso vitani?

Sasa huwa mnamuona ni shujaa kwa lipi hasa? Kuuza utu wa mwafrika kwa mzungu?
 
p
Yeye jela tuu ,huo ni ubinafsi wa Hali ya Juu ,mbona wenzie walikufa kabisa Kwa mateso vitani?

Sasa huwa mnamuona ni shujaa kwa lipi hasa? Kuuza utu wa mwafrika kwa mzungu?
Binafsi yangu namuona shujaa kwa mazuri yake aliyoyafanya, hayo Mengine yalikuja baadaye, kwa nini unamuhukumu kwa kutumia alipokosea tu na sio alipofanya sahihi? na hili ndo tatizo kubwa la binadamu wanataka utende kama Malaika ndipo wakupe heshima.... Hata Nyerere Baba wa Taifa ana Mapungufu yake ila mazuri yake ni mengi zaidi na yamekuwa tija kwa taifa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom