Leo Baada ya Mishe za hapa na pale nikaamua, kuchezea kidogo simu yangu hii na kudesign logo za wanajamii forum maarufu baadhi kwa kulingana na majina yao. Wapo wengi ila hawa ni wachache siwezi kutengeneza kwa wote ntachokaa..
Nimajaribu tu ili mnipe maoni yenu...kama ziko poa.View attachment 848502
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimajaribu tu ili mnipe maoni yenu...kama ziko poa.View attachment 848502
Sent using Jamii Forums mobile app