Neighbours sign up for Uganda refinery shares

Koborer

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,020
272
In Summary

  • Kenya, Rwanda and Burundi have sent letters of interest in the 10 per cent share offered by Uganda.
  • Uganda plans to build a refinery with a capacity of 60,000 barrels of oil per day (bpd) that will be scaled up to 180,000 bpd in phases, through a public private partnership.
  • The country invited its neighbours in order to spread the risk and to secure the regional market for the refinery’s products, expected from 2017.
Neighbours sign up for Uganda refinery shares - News - www.theeastafrican.co.ke
 
Hongera Museveni kwa ujirani mwema. Tanzania kama kawa foot dragging like a whining school boy creeping reluctantly to school.
 
This is how wananchi make money from their natural resources,sio hawa Chinese or Barric Gold come with their fake billions wanakomba kila kitu,nchi haipati kitu na mwananchi hapati kitu...hii model inayotumiwa na nchi nyingi za Africa kuleta hao investors haina faida yeyote kwa Africans
 
Nimesoma vizuri article ya The East African, nimeona baadhi ya nchi ziko makini sana na proposal za M7 and for a good reason 4 that matter, hawataki kuingia kichwa kichwa alafu wakajikuta wanachangia ujenzi ambao unaweza kuwa gharama sana tofauti na kama wanavyo shawishiwa na M7, mtu/Kiongozi yeyote mwenye akili timamu ni lazima hawe mwangalifu na maprojects ambayo yanaonekana kuwa ni too good to be true - which's TRUE.
 
This is how wananchi make money from their natural resources,sio hawa Chinese or Barric Gold come with their fake billions wanakomba kila kitu,nchi haipati kitu na mwananchi hapati kitu...hii model inayotumiwa na nchi nyingi za Africa kuleta hao investors haina faida yeyote kwa Africans

Mkuu Koba, siwezi kuwatetea sana Barric Gold, lakini Wachina wametuibia kitu gani?? Hivi unaweza kweli ukalinganisha nchi za magharibi na China inapokuja dhamila ya kuendeleza bara la Africa?? Wachina wamefanya maajabu katika bara letu hasa hasa kwenye nyanja za Infrastructure, Real Estate na Viwanda - nenda Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Nigeria, Ethiopia nk. Baadhi ya Wachina wanaweza kuwa na mapungufu yao kama binadamu, lakini wamelifanyia kazi nzuri bara la Africa.
 
Back
Top Bottom