Negative thinking juu ya mume/mke/mpenzi wako...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Ni mawazo gani ya kwanza yanayokujia kichwani juu ya moja au baadhi ya mambo kati ya haya yanapotekea juu ya mme/mke/mpenzi wako?

  1. Unapiga simu hata mara tano, haipokelewi...
  2. Unapiga simu unaambiwa inatumika, subiri au piga baadae, unasubir, na bado hakati inayoongea nayo apokee ya kwako...
  3. Unapiga simu jioni nzima au usiku mzima unaambiwa haipatikani...
  4. Unapiga simu anapokea, na kwa haraka anakwambia sory, ntakupigia baadae na anakata...
  5. hajakupigia simu siku nzima, tofauti na siku nyingine...
  6. Kasafiri, na frequency ya kukupigia simu inapungua...
  7. Unampigia simu usiku anakwambia yuko baa...
  8. Kasafiri kufikia nyumba ya wageni, na baada ya kukuambia amefika, simu yake haikupatikana tena usiku mzima...
  9. Ni mwanachuo anayekaa hosteli, siku za mwanzo alikuwa anakuja home weekend lakini sasa kila weekend anakuambia kuna discusion...
  10. Ni nesi na unampigia simu usiku anakuambia siku hiyo hana raha maana yuko zamu na Dr anayemtongozaga, kisha baadae simu yake inazimwa au ukipiga haipokelewi...
  11. Ana kawaida ya kurudi nyumbani mapema, then siku hiyo hajarudi hadi usiku sana na ukipiga simu inaita bila kupokelewa...
  12. Amerudi nyumbani kachelewa na anaonekana mchovu na akilala anakugeuzia mgongo...
  13. Karudi nyumbani late, asubuhi unaingia kwenye gari unakuta harufu kali ya manukato...
  14. Kachelewa kurudi home/hakurudi home kabisa/yuko safarini na unapiga simu alafu sauti ya kwanza kusema 'alooo' ni ya opposite sex na unayempigia...
  15. n.k...

Kama wazo la kwanza linalokujia ni kuwa 'itakuwa yuko/alikuwa anakusaliti na mtu mwingine', then ujue uhusiano au ndoa yako iko matatani

Ushauri
Wazo la kwanza; Kila kitu kiko ok, au itakuwa kajisahau, simu imeisha chaji n.k
Wazo la pili; atakuwa na dharura...
Wazo la tatu; ananisaliti (najua ni vigumu kupotezea moja kwa moja hasa kwa mtu unayempenda, lakini hata hivyo utakapojiridhisha kuwa sio moja kati ya mawazo hayo mawili ya kwanza, then angalau kwa mbaali anza kufikiria usaliti...

Kwa bahati mbaya hata huku JF, kuna watu wanakuja kuomba ushauri juu ya kuwa na tatizo katika mahusiano yao, lakini ukifuatilia utakuta ni kwa sababu alikuwa na 'negative' thinking kama wazo lake la kwanza...
 
Siyo simu za mkononi tu...hata JF, Facebook, MySpace, Twitter, WAYN, Messenger, Yahoo, Hotmail, Gmail,...you name it!

unajua unaweza usiamini...mimi hivi vitu havinisumbui kabisaa....
sina tabia ya kupiga piga simu....na wala nisipoigiwa ndo kabisaa siulizi...

na nikipiga mara moja haipokelewi naweza nisipige tena kwa mwaka mzima....
i refuse kukaa roho juu na hizi simu...
 
Aisee kuna element za ukweli na mara nyingi wenye negative thinking hawa/hatujiamini ndio maana muda wote unahisi kuibiwa tu! Huwezi fikiria labda kaibiwa Simu au charge ney; wewe unawaziwa kuibiwa tu!

I like the post!
 
\

Uko Facebook Boss?
 
Hiyo namba y jezi y messi .......lazima uwaze in negative way! lkn km ni mm ningesha mwambia aache kazi cku nyingi sana.
 
Mi sitoleagi mimacho mambo ambayo sijakuwepo direct kwenye tukio ila kama frequence of occurance of the event ni nyingi naingia kwenye upelelezi
 
yes,wewe je?
mimi huwa nafikiria ku quit kila siku
naona imekaa kike kike hivi...
post eti i am eating now..lol
nitaquit soon.now i hardly log in..lol

Yeah I'm there but not that seriously. I don't use my real name but instead I use NN and my avatar here is my picture there also.

And on average I log in about once in every three months.

It's just not my cup of tea.
 
interesting.....
babu zetu na bibi zetu walipata nafuu ya kutokuwa na simu za mikononi...
landline.jpg

...kiukweli hata mimi na miss sana zama hizi na za kulamba stempu,....lol...
 
Aisee kuna element za ukweli na mara nyingi wenye negative thinking hawa/hatujiamini ndio maana muda wote unahisi kuibiwa tu! Huwezi fikiria labda kaibiwa Simu au charge ney; wewe unawaziwa kuibiwa tu!

I like the post!

Ni kweli kabisa mkuu. Kuna jamaa yangu aliwahi kupata ajali ya gari (hakuumia yeye ila gari iliumia), so katika purukushani za kuiweka sawa akachelewa sna kurud home. Alipofika kakuta mke amenuna, haongei akamfungulia tu mlango. jamaa kalala, kesho yake wife akakuta gari ina tatizo akaanza kujibalaguza kwa mume pole sana bebii, ilikuwaje? jamaa akamwambia 'nilitegemea hilo swali uniulize jana usiku niliporudi'...
 
Hakuna kitu nachukia kama hicho. Nikijaribu mara moja haipiti najaribu ya 2, isipo pita natuma message ya kusema the way I feel alafu nasahau, najishughulisha na mambo mengine hadi atakapo piga. Ila kusema ukweli haijawahi kutokea katika situation extreme kama hizo from 6 kweda chini.But from 5 kwenda juu ni zake sana tu. Ila mwisho anaishia kupiga na kutoa sababu
 
Kuna wengine akipiga haipokelewi anatuma msg 'endelea na huyo mwanamke/mwanaume wako anayekusababisha usipokee simu'... Sidhani kama nawe unatuma za hivyo!
Unadhani ikikutokea kama hiyo ya 6 na kuendelea utaweza ku-take easy?
 
Ukiona mtu anatuma hivo maana yake anasababu za kufikiria hivo. Mara nyingi mi hua sipanick. nitachukia sana ila nikisha mwambia how I feel na yeye anakua mwepesi kurudisha feelings zangu kwenye mstari kwa kunihakikishia all is fine na how much he love me (only me). Asipo fanya hivo na arudi mara 2 mara 3 ni lazima nitaanza kujiuliza na shaka likisha ingia utamu wa mapenza umepotea tayari.
 
Ni mawazo gani ya kwanza yanayokujia kichwani juu ya moja au baadhi ya mambo kati ya haya yanapotekea juu ya mme/mke/mpenzi wako?

  1. Unapiga simu hata mara tano, haipokelewi...
  2. Unapiga simu unaambiwa inatumika, subiri au piga baadae, unasubir, na bado hakati inayoongea nayo apokee ya kwako...
  3. Unapiga simu jioni nzima au usiku mzima unaambiwa haipatikani...
  4. Unapiga simu anapokea, na kwa haraka anakwambia sory, ntakupigia baadae na anakata...
  5. hajakupigia simu siku nzima, tofauti na siku nyingine...
  6. Kasafiri, na frequency ya kukupigia simu inapungua...
  7. Unampigia simu usiku anakwambia yuko baa...
  8. Kasafiri kufikia nyumba ya wageni, na baada ya kukuambia amefika, simu yake haikupatikana tena usiku mzima...
  9. Ni mwanachuo anayekaa hosteli, siku za mwanzo alikuwa anakuja home weekend lakini sasa kila weekend anakuambia kuna discusion...
  10. Ni nesi na unampigia simu usiku anakuambia siku hiyo hana raha maana yuko zamu na Dr anayemtongozaga, kisha baadae simu yake inazimwa au ukipiga haipokelewi...
  11. Ana kawaida ya kurudi nyumbani mapema, then siku hiyo hajarudi hadi usiku sana na ukipiga simu inaita bila kupokelewa...
  12. Amerudi nyumbani kachelewa na anaonekana mchovu na akilala anakugeuzia mgongo...
  13. Karudi nyumbani late, asubuhi unaingia kwenye gari unakuta harufu kali ya manukato...
  14. Kachelewa kurudi home/hakurudi home kabisa/yuko safarini na unapiga simu alafu sauti ya kwanza kusema 'alooo' ni ya opposite sex na unayempigia...
  15. n.k...

Kama wazo la kwanza linalokujia ni kuwa 'itakuwa yuko/alikuwa anakusaliti na mtu mwingine', then ujue uhusiano au ndoa yako iko matatani

Ushauri
Wazo la kwanza; Kila kitu kiko ok, au itakuwa kajisahau, simu imeisha chaji n.k
Wazo la pili; atakuwa na dharura...
Wazo la tatu; ananisaliti (najua ni vigumu kupotezea moja kwa moja hasa kwa mtu unayempenda, lakini hata hivyo utakapojiridhisha kuwa sio moja kati ya mawazo hayo mawili ya kwanza, then angalau kwa mbaali anza kufikiria usaliti...

Kwa bahati mbaya hata huku JF, kuna watu wanakuja kuomba ushauri juu ya kuwa na tatizo katika mahusiano yao, lakini ukifuatilia utakuta ni kwa sababu alikuwa na 'negative' thinking kama wazo lake la kwanza...
mkuu inaweza kua ni mtandao wa simu,siku hizi network zina sumbua
 
Mi naona bora tu turudi zama za 'landline', hizi cellphone zinaumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom