Neema yaja, mvua kuanza kunyesha nchi nzima

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,996
7,087
Kuanzia leo Jumatatu hali ya hewa kubadilika na mvua kunyesha nchi nzima. Mvua zitakuwa za wastani katika maeneo mengi ila Morogoro, Arusha, Manyara, na sehemu kubwa ya kanda ya ziwa ngojeni nilale tena niote upya maana mvua zake nimeona tu kama bomba kuu la maji lililopasuka na maji yamefurika kila kona.
Nitarudi hivi punde nikipata nauli ila siendi kama mjomba
 
Mvua bado sana Mkuu...

Lile zoezi la uhakiki bado hata nusu ya Nchi halijafika... .

Mpaka watakapomaliza kuhakiki wakulima HEWA ndio mvua zitanyesha.
Serikali imefuta zoezi la uhakiki mara moja baada ya kuona maghala yake yako tupu, kabla ya jumapili kufiki karibia kila kona ya nchi itakuwa tepetepe kwa maji
 
Nimetafakari kwa kina kwa kweli sijaelewa mantiki ya hii mada ya mvua.
 
Weather forecast inaonesha kuna mvuwa na si swala la ndoto hizi ni mada za kipuuzi kabisa
 
Utabir umetolewa lin mkuu

Mkuu ningeshangaa kama usingetokea kwenye huu uzi wa mvua, najua ni kwa kiasi gani unaihitaji. Umepanda au unatarajia kupanda nini iwapo mvua itanyesha. Jana na leo Arusha mvua imenyesha japo sio kubwa.
 
Back
Top Bottom