Deshbhakt
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 375
- 189
Mbona usitaje Mwafrica pia? Wako watajiri wengi pia?Hapa bongo wahindi na waarabu wanaongoza kwa pesa lakini misaada wanaongoza wazungu inakuaje hii?
Mbona usitaje Mwafrica pia? Wako watajiri wengi pia?Hapa bongo wahindi na waarabu wanaongoza kwa pesa lakini misaada wanaongoza wazungu inakuaje hii?
Waafrika inajulikana hatupendaniMbona usitaje Mwafrica pia? Wako watajiri wengi pia?
Kwa nje anatoa misaada. Kwa ndani ana mambo yake. Mzungu hapotezi muda wala mali bila faida. Ana jambo lake katika nchi hii.
Wenzetu huko kwao wanao utaratibu wa kuchangishana pesa ili wazilete kusaidia African people.Tujiulize, yeye na wenzake wanafaidika nini hasa? Manake tusifurahie hii misaada in the name of misaada. In the end kuna namna anafaidika tu. Hakuna mtu mweupe mjinga mjinga.
Yap kwa kutumia proposals zinazo gusa jamii kupitia video na picha na makampuni ya utalii lazima apige mpunga mwingi wa kutosha...we calling Philanthropy
Mbongo aka mwafrika ni mbinafsi
Utakuta mtu kakwiba mabilion ya fedha
Kayaficha,badala pesa hiyo aitumie awekeze
Afungue mradi,atoe ajira
Yeye kayakalia tu mabilionn
Ova
Mwizi Hana akili ya kuwekeza. Unakuta waziri Fulani amepiga mabilioni sana sana atakachowekeza Ni kujenga nyumba za kupangisha Mbweni na Mbezi beach, kununua shamba Kibaha misugusugu na kuweka ng'ombe na mbuzi. Zingine kumnunulia wife harrier, nyumba ndogo Nissan dualis. Hawana akili ya kuwekeza hata kiwanda Cha maji.
Bure kabisa
Zipo NGO nyingi nchini kwetu zinazosadia wananchi wenzetu in many ways. Fikira zetu pengine ni midogo sana kwa kuwa tunawabagua na asili zao. Practically on ground levels, let us be realistic?
Walishasahau absolute poverty na wanajitahidi kusaidia wengine wanaopambana nayo. Hawajui kuwa absolute poverty ndiyo mtaji wa CCM.Wazungu nao Ni binadamu.
Jiulize wale wazungu waliokuja pwani ya afrika mashariki na kuzuia mababu zako wasichukuliwe na waarabu kwenda kuwa watumwa walifaidika na Nini?
Jiulize World vision,
JICA,
NORAD,
DOCTORS WITHOUT FRONTIERS,
CCBRT
SIDA wanafaidika na Nini?
Walishasahau absolute poverty na wanajitahidi kusaidia wengine wanaopambana nayo. Hawajui kuwa absolute poverty ndiyo mtaji wa CCM.
😂😂😂Ndo maana mwendazake alikuwa anawapiga block
Mzungu kila Jpili huko kwao wanachsngia makanisani, hivyo hawakaukiwi.Angeanzisha mswahili angefuatiliwa hela katoa wapi.
Hukohuko Arusha Kuna shule iliyokua inatoa elimu kwa vijana wasio na uwezo wa kulipa ada, matokeo yake walipata bill ya TRA ya kufa mtu. Hivi Ile shule ilishafunguliwa?
Ni wachache wanaenda kanisani.Mzungu kila Jpili huko kwao wanachsngia makanisani, hivyo hawakaukiwi.