Neema: Serikali yawakumbuka wakulima wa mahindi yatoa sh 6.6 bilioni za kununulia zao hilo mkoani Ruvuma

Wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma wamemshukuru Waziri mkuu kutokana na serikali kutoa zaidi ya sh 6 bilioni za kununulia mahindi yaliyokwama majumbani mwao kwa kukosa wanunuzi.
Waziri mkuu Majaliwa yuko mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi.

Source ITV habari!
Wanazidi kujichanganya, na wakulima wa mbeya, irnga, rukwa n.k. watawaambia nini
 
Acha ujinga mburula wewe! Kuna mikoa inaitwa BIG FOUR kutokana na uzalishaji mkubwa wa mahindi. Unatoaje pesa kwa mkoa wa Ruvuma halafu husemi chochote kuhusu Mbeya, Iringa na Rukwa?

Hujui ulichoandika. Mpango wa kununua mazao ya chakula unafanywa na WFP kwa maombi maalumu ya JPM. ofisi zote za WFP kusini mwa jangwa la sahara zimeagizwa kununua chakula Tanzania.
 
Wanamshukuru wakati ndio yeye alizuia yasiuzwe nje???? Mbona hawasemi kilo moja wananunua sh.ngapi???
Wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma wamemshukuru Waziri mkuu kutokana na serikali kutoa zaidi ya sh 6 bilioni za kununulia mahindi yaliyokwama majumbani mwao kwa kukosa wanunuzi.
Waziri mkuu Majaliwa yuko mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi.

Source ITV habari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom