mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Ile sheria kandamizi inayolalamikiwa na wamiliki wa vyombo vya habari, inayompa mamalaka waziri wa habari, tamaduni na michezo ya kukifungia chombo chochote bila hata ya kwenda mahakamani, ipo mbioni kuondolewa.
Akiongea na waandishi wa habari mkoani kigoma waziri Nape amesema serikali inataraji kuunda bodi ambayo itakuwa na uwezo wa kumhukumu mwandishi aliyekiuka taratibu za kiuandishi.....na hakutakuwa tena na maamuzi ya kuadhibu gazeti au chombo cha habari zima/kizima.
Source: Azam news