Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,127
- 6,764
Mwanzoni hawakuambii unakatwa kiasi gani, ajabu mwishoni utashangaa mkopo wa Nilioni 30 wamekata milioni 2 kama charges.HUDUMA MBOVU NA CHARGES ZA AJABU AJABU TU
Mwanzoni hawakuambii unakatwa kiasi gani, ajabu mwishoni utashangaa mkopo wa Nilioni 30 wamekata milioni 2 kama charges.HUDUMA MBOVU NA CHARGES ZA AJABU AJABU TU
The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.Naomba kujua utofauti wake
Unaweza kufafanua zaidi kwa sisi tuliosoma shule za kuunga unga? Je, unamanisha reducing balance rate si rafiki kwa mkopaji na badala yake flat rates ndio rafiki ?The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.
Amegoogle huyoUnaweza kufafanua zaidi kwa sisi tuliosoma shule za kuunga unga? Je, unamanisha reducing balance rate si rafiki kwa mkopaji na badala yake flat rates ndio rafiki ?
Could you explain a little bit more? Does this mean that reducing balance rate is relatively unfriendly to borrowers compared to flat rates?
Hawasemi ukweli,wanatupa stress wakati Ni biashara yao!?CRDB unaomba mkopo januari wanakupa fedha decemba
NMB wamevimbiwaNmb wameziba masikio
Nakazia mkuu wahuni tuu hawa njoo huku Amana Bank haina mamba ya kimakumaku MHESHIMIWAUna ushahidi na hayo uliyo yaandika hapo?
Mpaka mwaka uishi mwezi tuuHawa jamaa wamenilistisha sana, nimeomba loan Kama wiki 3 hivi lakini mpaka Sasa bado hawajaweka. KUNA SHIDA GANI
Mikopo inaumiza sana yaani Kama mtumishi ni heri ujiwekee malengo Yako tu kias ambcho ungekatwa baada ya kuchukua mkopo, ni heri ukawa unakatwa Moja kwa Moja iwe Kama umekopa na wakuwekee kwenye account Yako nyingne ambayo umejiwekea malengo Yako ukifanya hiv Miaka miwili maisha yanaendaHivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake.
Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi.
Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi. Tunatarajia ama tunahitaji mikopo kwa wafanyakazi kushuka hadi tarakimu moja ama single digit na wakulima kushuka zaidi kwani hiyo ndio inaenda kwenye uchumi halisi.
Tunasubiri NMB, NBC, Stanbic, Standard chartered, TCB, Azania, na bank nyingine watangaze kushusha bei.
Jitihada hizi za kushusha riba alizianzisha Magufuli, kabla ya Magufuli wafanyakazi tulikua tunakopa kwa kati ya 22% hadi 26%. Baada ya Magufuli kuamua kushusha riba ya hati fungani za serikali kutoka 16% hadi 9% ndio bank zikaanza kushusha riba hadi kati ya 16% na 18% kwa wafanyakazi.
Tunaomba serikali iendelee kuzibana hizi bank zishushe riba za mikopo ili kukuza na kuchochea uchumi. Tuwapongeze pia serikali kupitia BOT kutoa fungu la kuziwezesha bank kwa riba ndogo na zenyewe zikopeshe kwa riba ndogo.
Safi sana CRDB Bank PLC.