Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

Naomba kujua utofauti wake
The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.
 
Unaweza kufafanua zaidi kwa sisi tuliosoma shule za kuunga unga? Je, unamanisha reducing balance rate si rafiki kwa mkopaji na badala yake flat rates ndio rafiki ?

Could you explain a little bit more? Does this mean that reducing balance rate is relatively unfriendly to borrowers compared to flat rates?
 
Amegoogle huyo
 
CRDB Tawi la Kibaha wazinguaji mpaka wanakera.Sisi wafanyakazi wa *#&@@ hapa Kibaha,hawa jamaa wa CRDB hapa,wametu motivate kukopa(staff loans) wakawapa wenzetu wachache wengine unaenda mwezi wa tatu huu.
Halafu hata hawaeleweki,Mara systm mbovu,Mara head office hawaja approve,Mara subirini sikukuuu ziishe,Mara wiki ijayo,Sasa Kama walikuwa hawataki au hawana hela si wangesema!?bank inafanya kazi kikanjanja Kama Nanjilinji Saccos au Ngosha microfinance!?Halafu matatizo wanayoeleza ukiulizia branch zingine hawana,sasa unabaki unajiuliza hii ni bank moja ama vipi!?
Branch manager wa CRDB Kibaha unatukwaza,unatuboa na unaharibu image ya bank yako.
 
Hawa jamaa wamenilistisha sana, nimeomba loan Kama wiki 3 hivi lakini mpaka Sasa bado hawajaweka. KUNA SHIDA GANI
 
Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake.

Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi.

Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi. Tunatarajia ama tunahitaji mikopo kwa wafanyakazi kushuka hadi tarakimu moja ama single digit na wakulima kushuka zaidi kwani hiyo ndio inaenda kwenye uchumi halisi.

Tunasubiri NMB, NBC, Stanbic, Standard chartered, TCB, Azania, na bank nyingine watangaze kushusha bei.

Jitihada hizi za kushusha riba alizianzisha Magufuli, kabla ya Magufuli wafanyakazi tulikua tunakopa kwa kati ya 22% hadi 26%. Baada ya Magufuli kuamua kushusha riba ya hati fungani za serikali kutoka 16% hadi 9% ndio bank zikaanza kushusha riba hadi kati ya 16% na 18% kwa wafanyakazi.

Tunaomba serikali iendelee kuzibana hizi bank zishushe riba za mikopo ili kukuza na kuchochea uchumi. Tuwapongeze pia serikali kupitia BOT kutoa fungu la kuziwezesha bank kwa riba ndogo na zenyewe zikopeshe kwa riba ndogo.

Safi sana CRDB Bank PLC.

Mikopo inaumiza sana yaani Kama mtumishi ni heri ujiwekee malengo Yako tu kias ambcho ungekatwa baada ya kuchukua mkopo, ni heri ukawa unakatwa Moja kwa Moja iwe Kama umekopa na wakuwekee kwenye account Yako nyingne ambayo umejiwekea malengo Yako ukifanya hiv Miaka miwili maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom