Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,505
2,000
Naomba kujua utofauti wake
The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.
 
FAJES

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
715
1,000
The flat rate is calculated on the loan principal amount. The reducing balance rate method calculates the interest rate monthly on the outstanding loan amount. Reducing balance rates are generally higher than flat interest rates.
Unaweza kufafanua zaidi kwa sisi tuliosoma shule za kuunga unga? Je, unamanisha reducing balance rate si rafiki kwa mkopaji na badala yake flat rates ndio rafiki ?

Could you explain a little bit more? Does this mean that reducing balance rate is relatively unfriendly to borrowers compared to flat rates?
 
Njaa kali30

Member
Jul 18, 2021
46
125
Unaweza kufafanua zaidi kwa sisi tuliosoma shule za kuunga unga? Je, unamanisha reducing balance rate si rafiki kwa mkopaji na badala yake flat rates ndio rafiki ?

Could you explain a little bit more? Does this mean that reducing balance rate is relatively unfriendly to borrowers compared to flat rates?
Amegoogle huyo
 
Mdf

Senior Member
May 16, 2017
148
250
CRDB Tawi la Kibaha wazinguaji mpaka wanakera.Sisi wafanyakazi wa *#&@@ hapa Kibaha,hawa jamaa wa CRDB hapa,wametu motivate kukopa(staff loans) wakawapa wenzetu wachache wengine unaenda mwezi wa tatu huu.
Halafu hata hawaeleweki,Mara systm mbovu,Mara head office hawaja approve,Mara subirini sikukuuu ziishe,Mara wiki ijayo,Sasa Kama walikuwa hawataki au hawana hela si wangesema!?bank inafanya kazi kikanjanja Kama Nanjilinji Saccos au Ngosha microfinance!?Halafu matatizo wanayoeleza ukiulizia branch zingine hawana,sasa unabaki unajiuliza hii ni bank moja ama vipi!?
Branch manager wa CRDB Kibaha unatukwaza,unatuboa na unaharibu image ya bank yako.
 
GeofK

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
228
500
Hawa jamaa wamenilistisha sana, nimeomba loan Kama wiki 3 hivi lakini mpaka Sasa bado hawajaweka. KUNA SHIDA GANI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom