Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Sasa ume
Sasa si angalau useme ushuhuda wake ulihusu nini ili na wengine wajifunze. Umehemka hata huwezi kuelezea mambo ya msingi....

Sasa umeeleza nini maana ushahuda kanisani hauonekana katika maelezo yako, unaeleza suati ya huyo dada kuwa ni nzuri. Huo ndo ushuhuda a u hujui maana ya ushuhuda? Unakiwa kueleza kuwa alikuwa labda na tatizo fulani lakini baada ya maombi tatizo hili limeondoka na yuko salama sansa kwa kufunikwa na damu ya Yesu. Yaani ulienda kanisani kushuhudia sauti za wadada!
 
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.

Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.

Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka unasema "yes, huyu ndio mwanamke sasa".

Aisee, yani kwa jinsi dada huyu anavyoongea hahitaji kwenda kwa mganga kumroga Mwanaume. Sauti yake na jinsi anavyo ongea ni uchawi tosha.

Aisee huyu dada angekuwa mke wangu ningempiga marufuku kuongea na watu kwa sababu kusikia anavyoongea ni sawa na kuona nyeti zake.

Her voice would have to be exclusive to me only.

Sokoni ningekuwa naenda mwenyewe ati.

She speak so so beautiful. (And please don't confuse with the like of Wema Sepetu)

U need to hear her speaking cause hakuna maelezo yanayo weza kujitosheleza namna dada huyu anavyoongea.

It is a " VERY STRONG AND POLITE COMMAND"

Hakuna mwanaume alie kamilika anaweza ku resist jinsi dada huyu anavyo ongea.

Naamini Eva wakati ana mshawishi Adam ale Tunda alikuwa anaongea kwa Sauti ya dada huyu. Simply you cannot resist

Ndugu zangu ukisikia Mwanaume kalowea Tanga usimlaumu hata kidogo.

Tanga noma sana jamani
Wanawake wa Tanga mnajua mnajua mnajua.

I love women

" Before creation women were a race of Angels living in the Heaven. When God created Adam and saw that he was lonely he decided to send those Angels from Heaven to come to earth to help us ( men ) live in this realm. Ndio maana Mungu kabla hajampa Adam Hawa alimpa kwanza Eden ambayo ilifanana na MBINGUNI kule wanawake walipo tokea so that Eve will feel at home and never get bored"

This woman one Neema Bakari is a living proof of my theory.

Her voice should be prescribed by doctors for happiness.

Baba Mwamposa Kama unakujaga huku naomba umuajiri huyo dada redioni. She is so talented and blessed Am sure a million of people will be blessed thru her voice , just the way she talks.

This is the day that the Lord has made
Thanks Lord for what I saw today

# Kesho napanda Ratco au Tasheef naenda kuweka kambi Tanga huenda nikakutana na Mwanamke anae ongea Kama huyu.

# don't confuse simaanishi lafudhi ya kitanga. NI the way anavyo ongea. Yani kama ana deka vile Lakini hadeki Yani daaah aisee we Acha TU. Achaaaa
Mrejesho...............ulishapata upako?
 
Back
Top Bottom