whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,426
JF Doctors,
Katika mapambano dhidi yaCovid 19 kuna mtu ameniambia kwamba neem oil ukiweka drops puani kama Una dalili za Covid inapotea . Je, wataalam wa afya hii kweli iko salama ?
Neem oil = mafuta ya muarobaini