Need help/advice

Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,378
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yup anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost ili baadae ajiajiri?? Thanx
 
Hellow?
Nakushauri usome procurement and logistic management then ufanye paper zake za bodi unaweza kuwa na wigo mkubwa wa kufanya kazi sehemu nyingi na hata kujiajiri kama procurement consultant.tofauti na hiyo kozi ya risk ambayo najua inatolewa ifm kwa hapa bongo hiyo kozi ni nzuri tena sana lakini tatizo ni limited katika sehemu za kufanya kazi.Its my view challenges are accepted.all the best
 
thanx bro 4 ua advice but unaonaje kwamba kutokana na kwamba iyo kozi inatolewa na vyuo viwili ikiwemo udsm(actuarial sciences) kwamba kwnye ajira kunakuwa na demand kubwa ya graduates kuzidi supply?? esp kwny makampuni ya insurance??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom