NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

Kuna ka uncle kesho ndio mtihani bado nusu nikatie makofi baada ya kuona mwandiko wake,siku waliyomaliza mitihani akanihakikishia atafaulu,jana naangalia matokeo dogo kapiga A masomo yote thanks God 🙏
 
MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU

Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo Shule 38 za Msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa Mitihani hiyo ya Taifa

Shule hizo 38 kati ya 17,329 ambazo zilifanya mtihani, ziligundulika kukiuka Kanuni na Usimamizi wa Mitihani baada ya Wanafunzi 1,059 kuonekana kuwa na ufanano mkubwa wa majibu. Shule hizo ni kutokea Mikoa ya Geita, Morogoro, Simiyu, Arusha na Tabora

===
Kupitia Facebook page ya NECTA, katibu mkuu ametangaza matokeo ya darasa la Saba, ingia kwenye website ya NECTA

RESULTS


View attachment 1631485View attachment 1631486View attachment 1631487View attachment 1631488View attachment 1631489View attachment 1631490View attachment 1631491View attachment 1631493View attachment 1631494
Dr Msonde “This group will not get another chance of re-sitting the exam and it should serve as a lesson for others who plan to do the same… We will not allow them to use those methods to get results,” he insisted.

Kwa maana hatima ya hawa watoto ni kutokufanya mtihani kamwe tena au ??
 
Back
Top Bottom