kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,647
- 14,794
Salaam!
Baraza la Mitihani ya Kitaifa linajiandaa kutangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ulifanyika mwishoni mwa mwaka 2021 (CSEE).
Pamoja na Mtihani wa Upimaji kidato cha Pili (FTNA).
Wahitimu wote mkae mkao wa kuvuna kile mlichopanda.
Source: NECTA news
Bonyeza Link
www.necta.go.tz
Wanafunzi kumi (10) bora kitaifa kwa mwaka 2021/2022 ni kama ifuatavyo;
1. Consolata Prosper Lubuva - St. Francis
2. Bhutoi Ernest Nkaganza - St. Francis
3. Wilihelmina Steven Mijarifu - St. Francis
4. Glory John Mbele - St. Francis
5. Mary George Ngoso - St. Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Blandina Karen Chiwawa - St. Francis
8. Imam Suleiman - Feza Boys
9. Mfaume Hamisi Madili - Iliboru
10. Clara Straton Assenga - St. Francis

- Piga *152*00#
- Chagua namba 8. ELIMU
- Chagua namba 2. NECTA
- Chagua aina ya huduma 1. MATOKEO
- Chagua aina ya Mtihani 1. CSEE (kwa kidato cha Nne)
- Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2021
- Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
- Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo.