Necta ya dk ndalichako itangazwe kero mpya ya muungano.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Shule nyingi za Zanzibar zimepewa alama ya W.

kwa mfano
S3000 MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 FLD = 0
. hawa ni zaidi ya

wanafunzi 51.

Shule inayoapakana majengo , Skuli ya Kiembe Samaki Hakuna W. kina F na D.

Mikunguni, kati ya wanafunzi 42, 5 tu walionekana wameletewa matokeo yao
.

Shule ya Jangombe kati ya wanafunzi 176 , 53 wameletewa matokeo yao ya alama za D na F huku mengine yakindikwa (W) .

Shule ya Jangombe ipo karibu na Kidongochekundu ambayo haina W

Shule ya High View ,kati ya wanafunzi 78 , 9 tuShule ya Laureate ni wanafunzi 2 kati 48 . Hizi shule mbili zipo pua na mdomo na Shule ya Chukwani ambayo hakuna aliepewa W.kuna F za kumwaga.

S1352 SUFA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 5 FLD = 2 kati ya wanafunzi 40, 7 ndio nacte imewaachia.

Hii imepakana na Mwanakekwe C ambayo haina W hata moja

. Shule ya Hamani kati ya wanafunzi 176 wanafunzi 14. shule hii ipo pua na mdomo na shule ya Benbella, haile salas, vikokotoni na Tumekuja hizi zote hakuna W

. Bilali Seminary ni wanafunzi 4, kati ya 46 ndio waliokoswa kubakwa na NECTA. waliobaki ni D na F. shule hii ipo pua na mdomo na Shule ya Nyerere ambayo haina W, imejaa D na F

Shule za Zanzibar zote zipo karibu sana.wanafunzi wanaishi pamoja, wanadurusu pamoja

. Kwa hali ya kawaida inaonyesha mtihani umevuja tena umevuja kupindukia. MTIHANI UNATUNGWA BARA. NA KAMA UMEVUJA ZANZIBAR BASI HATA DAR UMEFIKA, HATA IRINGA NA TABORA UMEFIKA.LKN ZANZIBAR IMETOLOEWA KAFARA

KAZI IPO YA SIMU ZA MKONONI?

.Haya sio yale ya kutumia simu za mkononi. hi lkn jee kama umevuja Zanzibar ushindwe kufika bara?Hivi wabara hawapendi. Kwa upande wa Tanzania bara hamna W. Jee hizi shule zilizofutiwa hao waliopatiwa matokeo wote ni div 4. NECTA IMETUMIA FORUMULAR GANI?

SHULE KAMA KIBASILA, SHULE YA BENJAMINI MKAPA, JANGWANI LICHA YA KULALAMIKIWA KWAMBA WANAFUNZI WAMEKAMATWA NA MTIHANI HAKUNA W

Inaeleke wanafunzi wa zenji mlipiga onto (copy and paste), ndo mana ikawa rahisi kustukiwa. Huku bara wanafunzi ni wakongwe kwenye mambo haya, ndo mana inakua ngumu kuwashika!
 
haiwezekani,Hilo haliingia akilini, hapa ni mchezo wa karata tatu.
 
A real man with two balls hanging btn his legs always knows his real enemy, adui yenu ni UJINGA na sio NECTA.
 
haiwezekani,Hilo haliingia akilini, hapa ni mchezo wa karata tatu.

Okey kama kunamtoto wako unadhani kaonewa nenda wizarani fata utaratibu wa ku-appeal then utaona mpaka iyo karatasi ya majibu ya mwanao then scan leta hapa tuone na sio kulalama kama bibi kikongwe.
 
okey kama kunamtoto wako unadhani kaonewa nenda wizarani fata utaratibu wa ku-appeal then utaona mpaka iyo karatasi ya majibu ya mwanao then scan leta hapa tuone na sio kulalama kama bibi kikongwe.

kama umevuja zanzibar haingii akilini usifike bara. 1998 ulivuja shule moja ukafutwa tanganyika yote. Lkn mara huu ni mchezo wa karata tatu
 
432098_367123953299105_100000045111652_1493256_1136945510_n.jpg
 
Shule nyingi za Zanzibar zimepewa alama ya W.

kwa mfano
S3000 MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 FLD = 0
. hawa ni zaidi ya

wanafunzi 51.

Shule inayoapakana majengo , Skuli ya Kiembe Samaki Hakuna W. kina F na D.

Mikunguni, kati ya wanafunzi 42, 5 tu walionekana wameletewa matokeo yao
.

Shule ya Jangombe kati ya wanafunzi 176 , 53 wameletewa matokeo yao ya alama za D na F huku mengine yakindikwa (W) .

Shule ya Jangombe ipo karibu na Kidongochekundu ambayo haina W

Shule ya High View ,kati ya wanafunzi 78 , 9 tuShule ya Laureate ni wanafunzi 2 kati 48 . Hizi shule mbili zipo pua na mdomo na Shule ya Chukwani ambayo hakuna aliepewa W.kuna F za kumwaga.

S1352 SUFA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 5 FLD = 2 kati ya wanafunzi 40, 7 ndio nacte imewaachia.

Hii imepakana na Mwanakekwe C ambayo haina W hata moja

. Shule ya Hamani kati ya wanafunzi 176 wanafunzi 14. shule hii ipo pua na mdomo na shule ya Benbella, haile salas, vikokotoni na Tumekuja hizi zote hakuna W

. Bilali Seminary ni wanafunzi 4, kati ya 46 ndio waliokoswa kubakwa na NECTA. waliobaki ni D na F. shule hii ipo pua na mdomo na Shule ya Nyerere ambayo haina W, imejaa D na F

Shule za Zanzibar zote zipo karibu sana.wanafunzi wanaishi pamoja, wanadurusu pamoja

. Kwa hali ya kawaida inaonyesha mtihani umevuja tena umevuja kupindukia. MTIHANI UNATUNGWA BARA. NA KAMA UMEVUJA ZANZIBAR BASI HATA DAR UMEFIKA, HATA IRINGA NA TABORA UMEFIKA.LKN ZANZIBAR IMETOLOEWA KAFARA

KAZI IPO YA SIMU ZA MKONONI?

.Haya sio yale ya kutumia simu za mkononi. hi lkn jee kama umevuja Zanzibar ushindwe kufika bara?Hivi wabara hawapendi. Kwa upande wa Tanzania bara hamna W. Jee hizi shule zilizofutiwa hao waliopatiwa matokeo wote ni div 4. NECTA IMETUMIA FORUMULAR GANI?

SHULE KAMA KIBASILA, SHULE YA BENJAMINI MKAPA, JANGWANI LICHA YA KULALAMIKIWA KWAMBA WANAFUNZI WAMEKAMATWA NA MTIHANI HAKUNA W

Ninavyoelewa Elimu haipo kwenye mambo ya muungano. Kwanini wasiwe na baraza lao la mitihani. Halafu hawa wapemba wanafikiri nani anaupenda huo muungano? Let them go to hell
 
Back
Top Bottom